Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,269
- 5,399
Japo kuolewa sio lazima.
Wala
Kuwa na Mtoto sio lazima.
Wala
Kuwa na Mtoto sio lazima.
Sahihi sana mkuu 😁😁Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.
Mzee uslizamishe akili Yako iwe ya watu wote dunia ni kubwa unavyosema lazima inamaana wedz umekaa kwenye ubongo wa Kila binadamu dunianiMwanaume asipoa atakuwa ana mapungufu, mwanamke asipoolewa atakuwa mapungufu.... Kama huna mapungufu huwezi kuacha kuoa/kuolewa!.
Una matatizo gani mpka usioe wewe kijana😂Mzee uslizamishe akili Yako iwe ya watu wote dunia ni kubwa unavyosema lazima inamaana wedz umekaa kwenye ubongo wa Kila binadamu duniani
😂😂Mnakwepa majukum tu acheni hizi mambo.Lazima kwako wewe, tusipangiane maisha.
MSi kweli
Unauhakika Gani kwamba wote wasiooa wanamatatizoUna matatizo gani mpka usioe wewe kijana😂
Uhakika ndio huo sasabu za kutoa kuoa/kutotaka KUWA na familia ni nini?. Kama sio kukwepa majukum basi bailojikale ana matatizo.Unauhakika Gani kwamba wote wasiooa wanamatatizo
Uhakika upi kwamba wote wasiooa wanamatatizo au wanakwepa majukumu maana wewe haupo ndani ya mioyo yaoUhakika ndio huo sasabu za kutoa kuoa/kutotaka KUWA na familia ni nini?. Kama sio kukwepa majukum basi bailojikale ana matatizo.
Mkuu kama unawaza kwa namna hii una safari ndefu sana, hakuna sheria inayolazimisha kuoa au kuolewa, waachen watu waishi maisha Yao. Alot of women are in wrong houses because of money, alot of men are in wrong relationships because of looks. Marriage is a scam if you can avoid it don't do it..Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.
Mtu akishapigwa na maisha hua analazimisha Kila alichofanya yeye na wenzie wafanye hajui duniani Kila mtu na akili yakeMkuu kama unawaza kwa namna hii una safari ndefu sana, hakuna sheria inayolazimisha kuoa au kuolewa, waachen watu waishi maisha Yao. Alot of women are in wrong houses because of money, alot of men are in wrong relationships because of looks. Marriage is a scam if you can avoid it don't do it..
Jamaa mmoja aliwah sema black people are chaotic nadhani sample aliichukuwa kwa watu kama hawaNani kasema ni lazima? Hijui dunia ndiyo maana unasema hivyo. Watanzania tuna stereo type za ajabu sana. Hjaona watu wengi tu wanazaa na kuishi wenyewe bila ndoa?
Kila mtu Ana priority wake, mfano kuna jamaa anamwoa lets say Jane this month lakin anatuma msg kwa baby mama wake kuwa anaoa basi tu ila penzi lake Lipo kwa baby mama wake baby mama kascreen shot kamtumia mwanamke wangu, mwanamke wangu kafoward wangu yan ndio nikaja nkajua kumbe jamaa alitakaga hata kunywa sumu, yan jamaa nimemshusha vyeo vyote halijui kama najua ujinga wake mkikaa sehemu mnakula mambo yenu anajifanya simba zee upuuz mtupuMtu akishapigwa na maisha hua analazimisha Kila alichofanya yeye na wenzie wafanye hajui duniani Kila mtu na akili yake
SASA Unaishi ili uifanyie nini Dunia hii? Acheni theories za kitoto. Hakuna jambo lilo chini ya Dunia likakosa changamoto.Mkuu kama unawaza kwa namna hii una safari ndefu sana, hakuna sheria inayolazimisha kuoa au kuolewa, waachen watu waishi maisha Yao. Alot of women are in wrong houses because of money, alot of men are in wrong relationships because of looks. Marriage is a scam if you can avoid it don't do it..
Unaachaje kuoa kama umetimia mtu mme alooh!.. unahangaika na maisha kisa nini?Uhakika upi kwamba wote wasiooa wanamatatizo au wanakwepa majukumu maana wewe haupo ndani ya mioyo yao
Naam. Somo la "Mind Your Business." bado halijaeleweka kwa Watanzania wengi.Ni maisha yake binafsi
Mkuu usilazimishe game plan yako ndio iwe standard ya maisha ya watu wote, unatengeneza standard inayofanya wale walozaliwa Moro hazisimami na wale wasioweza kubeba mimba waone kama wamekuja duniani kuzurula..sio kweliSASA Unaishi ili uifanyie nini Dunia hii? Acheni theories za kitoto. Hakuna jambo lilo chini ya Dunia likakosa changamoto.