MARA NYINGI WATU WENYE TABIA YAKUCHUNGUZA PERSONAL LIFE YA WATU WENGINE WANAKUAGA NA HULKA YAKUUMIZA WATU AMBAO WAKO CHINI YAO ESPECIALLY WAKIWA KWENYE POSITION YA UONGOZI KWA MFANO WANAWEZA KUMPENDA MTU MVIVU WAKAMCHUKIA MTU MWENYE BIDII KWENYE KAZI AU MTU MWENYE MAFANIKIO