Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

Kuna sheria yoyote inayolazimisha watu kuolewa au kuoa?

Au kuoa na kuolewa ndio kipimo cha utu?
Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…