Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Yani ni hivi, personally ninaamini mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hiyo ni rule of thumb sawa na elimu ni ufunguo wa maisha ila unaweza ukasoma ukaishia kuwa masikini tu.Soft soft kivipi unataka kutuambia wewe mkakamavu kwa kuruka ukiti wa meme wa meme.
So ile watoto kuwa wanajitengenezea toys, ni kitu kilichokuwa kinawajenga. Ndiyo maana wenzetu watoto wadogo huwapa building blogs watumie kujenga nyumba, kutengenezea magari na vitu mbalimbali zinawafanya wawe creative na kuongeza uwezo wao wa kufikiri. Hili jambo nimeliona kuanzia kwa wachina mpaka wazungu.