Uwe na akili, wote hao ni wafanyabishara wakubwa. It seems wewe ni std seven failure! 😀 😀 😀 😀Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba.
Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili watanzania wamepata real picture