Uwe na akili, wote hao ni wafanyabishara wakubwa. It seems wewe ni std seven failure! π π π πKwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba.
Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili watanzania wamepata real picture
Mbowe mambo yake ya kwenye siasa yanawaumiza nyinyi msiokuwa realistic kukubali kwamba siasa ni usanii, lakini tukirudi kwenye utajiri sehemu kubwa amerithi kutoka kwa baba yake Mzee Aikaeli Mbowe yeye ameendeleza tu. Ukwasi anao na kuna mwaka zilivujishwa nyeti info za wanasiasa wenye Swiss secret bank accounts jamaa hana njaa kabisa plus ni genius kwenye biashara na uwekezaji.Zimepatika kwenye siasa. Ndo mana hawataki kutoka
Unaposkia ni mfanyabiashara mkubwa jua ni mfanyabishara mkubwa kuliko wewe ndo maana yakeWafanyabiashara wakubwa ni Bakhresa, Rostam Aziz, GSM na Mo Dewji
Islam tupu ππ
Huyo mangi ana Shamba la Kiti Moto aka Noah
Jukwaa la siasa lina watoto wengi sana.Uwe na akili, wote hao ni wafanyabishara wakubwa. It seems wewe ni std seven failure! π π π π
La 7B kama Kigaila πππUwe na akili, wote hao ni wafanyabishara wakubwa. It seems wewe ni std seven failure! π π π π
Ivi kuna watu waliamini kabisa Mbowe yupo kwa maslai ya Watanzania!!!Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba.
Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili watanzania wamepata real picture
Zimepatika kwenye siasa. Ndo mana hawataki kutoka
I second this.Jukwaa la siasa lina watoto wengi sana.
HahahahWafanyabiashara wakubwa ni Bakhresa, Rostam Aziz, GSM na Mo Dewji
Islam tupu [emoji3][emoji3]
Huyo mangi ana Shamba la Kiti Moto aka Noah
Mbowe sawa ni Kilaza kabisa na hao kina Sugu, ila Wenje akili zimo ni vile kaamua tu kuwa Double Agent, ila Mnyika ni genius, kupata 1.7 sio mchezo lazima ziwemo. Pia kudisco chuo hakujustify uwezo mdogo wa mtu bali kuna factors nyingi zinazofanya mtu kudisco chuo!mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba.
Bado anaongoza?Mbowe ndio anaongoza saccos yetu ya uchagani ambayo inaitwa CHAGADEMA.