Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Kuna invention na innovation mkuuChina anamtishia Marekani kwa biashara inayohusu teknolojia ila sio kwa teknolojia. Teknolojia zote muhimu duniani kuanzia karne ya 18 zimekuwa zinagundulia Marekani na Ulaya. Huko Asia kwenye nchi kama China wamekuwa wakifanya ku copy, reverse engineering na maboresho ya hapa na pale kukakamata soko.
Unaweza kufanya invention ukaja kuzidiwa na atakayekuja kufanya innovation
Vitu vingi vimefanyiwa invention Ulaya lakini mbona credit iende kwa USA ambaye amefanya innovation kama China