singanojr
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 1,974
- 10,361
Ni kweli Gini Coeficient ya Marekani ni kubwa kidogo kuliko China , hii imechangizwa na aina ya mfumo wa ki utawala , Marekani ni Capitalist while China ni Communist , lakini kama tukichukulia huo mfumo kama irrelevant utagundua kwamba Sera ya Mchina ni Quantity Exportations while USA ni Quality Exportations ... ukitofautisha hizo sera mbili utagundua kwamba inahitajika mtaji mdogo kutengeneza bidhaa za ubora wa Chini kwa ajili ya kusafirisha na hapa inambidi mfanya biashara kutengeneza kwa wingi kusafirisha nje ili apate faida , Quality exportations yenyewe inahitajika.mtaji mkubwa kutengeneza bidhaa yenye ubora wa hali ya juu, faida ya hii ni kwamba haihitaji kusafirisha sana ili upate faida ndio maana leo hii unamuona mtu kama.Elon anapata faida sana kupitia Tesla licha ya magari yake kutoonekana kabisa katika baadhi ya nchi za Africa.China wafanyabiashara wadogo na wenye viwanda vidogo ndio wafaidika biashara za kimataifa tofauti na Marekani.Biashara ya kimataifa imeshikwa na wafanyabiashara wachache sana akina Billy Gates,Musk nk hawazidi 20 Hao wauza ma Boeing nk
China tofauti faida inaenda Kwa wengi wakati USA inaenda Kwa wachache Hata ikiwapita China lakini wanafaidi hiyo faida USA hawazudi 20 wakati china wanafaidi mamilioni
Sasa ukishatengeneza kitu quality moja kwa moja unalenga wateja wa Middle class to high class na Vice Versa.
Hapa haimaanishi China hawatengenezi vitu quality lakini siku zote sokoni kabla ya Ubora wa kitu watu wanaangalia hisia zinazoambatana na kile kitu Mfano Xiaomi ana simu yenye uwezo mkubwa tena toleo la mwisho lakini ukamletea mtu simu hizo mbili na toleo la I phone 14 Pro max umwambie achague nakuambia hata wewe utaichukua I phone licha ya ubora na Highend ya Xiaomi.