Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

Kuna invention na innovation mkuu

Unaweza kufanya invention ukaja kuzidiwa na atakayekuja kufanya innovation

Vitu vingi vimefanyiwa invention Ulaya lakini mbona credit iende kwa USA ambaye amefanya innovation kama China
 
Licha ya ukweli kwamba katawala Soko la.Africa lakini Anategemea nchi Za Amerika na Ulaya kutengeneza faida kubwa , huwezi linganisha faida ambayo Mchina anapata kwa soko la Amerika na Afrika ,hii ndio maana inampa Mmarekani kiburi cha kufungia fungia bidhaa za Mchina.
 
Kuna invention na innovation mkuu

Unaweza kufanya invention ukaja kuzidiwa na atakayekuja kufanya innovation

Vitu vingi vimefanyiwa invention Ulaya lakini mbona credit iende kwa USA ambaye amefanya innovation kama China
 
China wafanyabiashara wadogo na wenye viwanda vidogo ndio wafaidika biashara za kimataifa tofauti na Marekani.Biashara ya kimataifa imeshikwa na wafanyabiashara wachache sana akina Billy Gates,Musk nk hawazidi 20 Hao wauza ma Boeing nk

China tofauti faida inaenda Kwa wengi wakati USA inaenda Kwa wachache Hata ikiwapita China lakini wanafaidi hiyo faida USA hawazudi 20 wakati china wanafaidi mamilioni
 
Miaka 10 yote ya nini mitano inatosha kabisa
 
😀 😀 😀 Kama mmedhibiti Taiwan mbona mpata tabu kwa TIktok? China ndio kinara duniani
Umeona ni kwa kiasi gani hao Tiktok wanavyohangaika ili wasifungiwe , Dunia ni kubwa hii watu kibao lakini wanahaha na Marekani.
Mchina yeye kafungia mitandao ya kijamii nchini kwake , ana watu zaidi ya bilioni na ushee lakini ulisikia wapi Mack Zuckerberg akihangaika na Bunge la China kama Shou anavyohaha[emoji1][emoji1].
Jiulizeni maswali mepesi tu kwanini Marekani kila saa
 
Kuna invention na innovation mkuu

Unaweza kufanya invention ukaja kuzidiwa na atakayekuja kufanya innovation

Vitu vingi vimefanyiwa invention Ulaya lakini mbona credit iende kwa USA ambaye amefanya innovation kama China
China haiizidi Marekani kwa invention au Innovation. China inaizidi Marekani katika gharama za kufanya Innovation na uzalishaji.
China wanatengeneza vitu vya Teknolojia kwa gharama ndogo sana tofauti na Marekani na Ulaya na hapo ndipo mzozo wa kibiashara ulipo kati yake na Marekani.
 
China wanatengeneza vitu vya teknolojia kwa gharama ndogo kwa sababu wameadvance kwenye application of scientific knowledge ndio maana tunasema China wako mbele kwenye critical technologies (technology useful in many applications) kuliko Marekani

Miaka hii kinachofanyika hasa ni technological breakthrough (methods, systems, and devices which are the result of scientific knowledge being used for practical purposes)

Wewe hata ukigundua ukibaki na tech yako ya zamani watakuja wenzako watafanya R&D na innovation unapigwa gap.

Na wewe uliyefanya innovation ukibaki conversative watakuja wengine watafanya tafiti za kutosha watakupiga gap.

Ndio kilichoipata Ulaya kwa Marekani miaka ya nyuma na ndio kinachoipata Marekani kwa China miaka ya sasa

Ndio maana miaka hii kampuni nyingi kubwa zina vitengo vya R&D kwa ajili ya innovation.

Dunia imekuwa ya ushindani ukikaa kizembe utabaki kulialia kama Marekani
 
Mikono ya marekani ki vipi ?
 
Wasifungiwe wakati wamekataa kuuza! FB na whatsap na takataka zote zimewekwa kapuni na Titktok tu 😀 😀 ..Ndugu zako wanataka kuuziwa kwa ulazima.

Wwe ndio huelewi tenders hapa bongo 90% ni mchina , biashara zote katawala .Yaani wewe unamtegemea mchina sio USA kama hujui.
 
Sasa shou si alienda kuhojiwa na masenator ulitaka asiende ? China na Marekani wanataratibu zao tofauti za kushughulikia mambo yao.

Hata huyo mark mara nyingi tu kaitwa na masenator ili kutandikwa maswali kuhusu FB yake
 
Na kama kuna mtu anabisha hili basi aweke hapa Tech ya muhimu iliyoanzia China. China ni professional wa kucopy kile ambacho wenzie wameanzisha.
 
Kuna invention na innovation mkuu

Unaweza kufanya invention ukaja kuzidiwa na atakayekuja kufanya innovation

Vitu vingi vimefanyiwa invention Ulaya lakini mbona credit iende kwa USA ambaye amefanya innovation kama China
Historically major inventions were done more in China kuliko hata western Countries...; Ila in today's world, it does not really matter mfano kampuni nyingi za madawa zinafanya research kuhusu madawa na nchi kama India zinafanya copying na kuuza at a cheaper price..., kuna wakati watu walikuwa wakiugua wanavuka kwenda Mexico from USA ili tu kupata dawa kule cheaper.... (dawa ile ile)

Chinese Inventions
  • Paper making
  • Compass
  • Gunpoweder
  • Printing Press
  • Mechanical Clock
  • Silk
  • Umbrella
  • Acupuncture
  • Porcelain
  • Row Crop Farming
  • Paper Money
And that is to name just a few..., China ina History ndefu sana USA ya leo ni taifa la jana tu kulinganisha na China
 
Na kama kuna mtu anabisha hili basi aweke hapa Tech ya muhimu iliyoanzia China. China ni professional wa kucopy kile ambacho wenzie wameanzisha.
Printing imeanza China toka karne ya 7 wakati wa Tang dynasty wakati huo hata U.S.A haikuwepo wala kufikiriwa kuwepo enzi hizo wapo ulaya wanakunya vichakani
 
Mchina ni overrated tu. Anasafari ndefu kumfikia U. S. Kwangu mimi, ntaanza kumkubali akiweza kufikia japo kiduchu ya mchango wa US kwenye budget ya United Nations. Marekani peke yake anaweka 18 billion. Vinginevyo,.mchina bado anachechemea tu.
 
Uko sahihi

Ila nilitaka kumrahisishia uelewa maana tatizo dunia imeshawakaririsha watu kuwa civilization, industrial revolution, sci-tech revolution zimeanzia West
 
Mchina ni overrated tu. Anasafari ndefu kumfikia U. S. Kwangu mimi, ntaanza kumkubali akiweza kufikia japo kiduchu ya mchango wa US kwenye budget ya United Nations. Marekani peke yake anaweka 18 billion. Vinginevyo,.mchina bado anachechemea tu.
Mchina yuko nafasi ya pili kwa wanaochangia zaidia budget ya UN
 
Upo na logic but based on western media propaganda, ukweli halisi ni mgumu sana kuujua kwa sasa

Swali lako naliona kama vile, nani anakimbia zaidi kati ya miguu na mikono, miguu ni USA na mikono ni CHINA - for me I better be CHINA coz its easy job, copy everything good they do and improve it at the same time do my things, either they want or not.

Kazi kwa USA ku keep up na kuendelea kuangalia CHINA imefika wapi

USA will never know

We will never know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…