Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

Amini nakwambia kama kapanga kuchepuka huwezi kumrudisha! Subiri tu matokeo
 
Mtoa mada nimekuonea huruma sana. Wadogo zetu wanaoa kabla hawajakomaa kiakili
 
Akili zangu za jana nilikua nasema nikiwa na mke wangu

nikagundua kachepuka/kaliwa basi namuacha hapo hapo

ila sasa hivi ntamuacha mke wangu kwa mengine ila sio

eti nigundue kaliwa/kachepuka hiyo kwa sasa si sababu.
 
Kifupi wewe ni kumamae, anyways tuache hizi habari, vipi Arsenal anatoboa top 5 msimu huu?
 
Ulipokutana nae njiani alikuaga kwamba anaenda wapi? Maana mpaka ametoka nyumbani that means alikua ameshaaga au labda alitoka bila taatifa mkakutana bahati mbaya?
 
Wewe mpumbavu usiite mwanamke mnaeishi wote kama geto mkeo...heshimu neno mke..uyo mpenzi wenu SEMA na endeleen kumkunguta Kwa zamu zenu
 
Ukiona manyoya ujuwe wahuni wameshamvua chupi na wahuni wanavyopenda tigo!!! Mkeo ulishindwa kumuuliza anaenda wapi!? Pole Mkuu
 
Si unamwambia twende home kuna taarifa za msiba....mkifika home una mpa mgegedo mmoja heavy.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee jamaa ina waza mitanange tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…