Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haa haa haa eti wanawake wakorofi,[emoji23]
 
Hata mimi napenda, na wakiondoka nyumba inapwaya kabisa.

Raha ya kuidhi wengi,nyuma inakuwa changamfu muda wote na kama una watoto hawaidhi kiupweke.
Nyumba inachangamka sana na chakula kinanoga yaani raha sana,

Wakiondoka nyumba inapooza sana,

Mwanzo ilikuwa ngumu sana kuzoea maisha ya family ya wat u wanna tu na kila mmoja akiamka na mishe zake kukutana jioni,mkipika chakula mnaangaliana tu,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia ya aina hii haiihitaji kuwa na mama mwenye nyumba mchoyo.
 
Familia ya aina hii haiihitaji kuwa na mama mwenye nyumba mchoyo.
Na ukiona kwako ni family kubwa na wageni wanapenda kufikia hapo jua ya kwamba mke sio mchoyo,

Hakuna kitu tunajiaribia sisi wanawake kama uchoyo wa chakula,,ukitaka uchukiwe basi kuwa mchoyo aisee hakuna mtu atatamani kuja kwako. Japo hawafuati kula hapo kwako,

wageni/family inabidi ipewe uhuru kwenye chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua sio maisha yangu ila kwakua sijaona mchanganuo unaowalenga wazazi wako kama ilivyo kwa wakwe zako, ningependa kukushauri uwakumbuke pia unless wawe wameshatangulia mbele za haki.
 
Kule kwetu usukumani wakati tunakua tulikuwa na slogan moja "mavyakula sio ya kumnyima mtu kama yapo", na ndio slogan yangu mpaka sasa maishani.

Yani kama uwezo wa kulisha upo, we mwaga tu msosi hata kama mengine utakuwa ni mkazaji (bahili)
 
Kule kwetu usukumani wakati tunakua tulikuwa na slogan moja "mavyakula sio ya kumnyima mtu kama yapo", na ndio slogan yangu mpaka sasa maishani.

Yani kama uwezo wa kulisha upo, we mwaga tu msosi hata kama mengine utakuwa ni mkazaji (bahili)
Hiyo inatokana na malezi ujue,,,sasa kama mzazi wageni wamefika nyumbani anapika msosi na kuwafungia jikoni wale,unategemea pale mtoto anafundishwa nini[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah hongera hawa ndio wale wanaomba alio waimba Juma Nature "wenye nguvu za Simba na wasiogopa risasi......".

Nakuombea husidrop kiuchumi manake utakuwa ushajitengenezea kijehanum kako hapa hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…