Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

Raha ya nyumba iwe na watu wengi aisee sio mnakaa kipweke pweke hapanogi yani. Watu wawepo hasa ndugu zenu miksa na watoto waishi vizuri na company za wenzao inajenga bond nzuri mno.
Ni kweli nyumba ikiwa na mnaishi wengi inapendeza sana,raha tupu,

Kwa karne hii ni ngumu sana kumkuta mtu anaishi na ndugu zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm siachahi pesa labda nauli za watoto shule najaribuhi kutoa pesa za matumiza ya mwezi Kwa wiki au wiki mbili
 
Uzi tayari!

Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni?

Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
achana na hizo fanya shopping ya mwezi ya vitu ambavyo aviozi kama mchee,unga etc then unaangalia kuhusu mboga mboga za kla siku utajiongeza mwenyewe kutokana na mfuko wako mm uwaga natoa hela weekly ..
 
halafu ukinunua vitu vya mwezi utashangaa unaacha 250k kwa mwezi na life ikasonga poa tuu
 
mkuu umetisha sana wewe ni kama nanvyofanya mm kwangu hata kama sina hela ya lite na uwakika wakula wali kidali na juice juu ha ha maisha ni kupanga
 
Wewe huwa unaachiwa sh ngapi?
Kawaida mtu mwenye akili zake anaacha 30k kwa siku kama hana basi anasema .
Kuliko mtu maisha ndio haya unaachiwa 10k hamna hata vitu vya jumla nikutesana tu.
30 na bado amenunua vitu ndani vyote hapo niuchumba tu je ndoa .
 
Kawaida mtu mwenye akili zake anaacha 30k kwa siku kama hana basi anasema .
Kuliko mtu maisha ndio haya unaachiwa 10k hamna hata vitu vya jumla nikutesana tu.
30 na bado amenunua vitu ndani vyote hapo niuchumba tu je ndoa .
Ee mola! Ibariki Tanzania!
Kumbe kuna wanawake mnaupiga mwingi!!
 
[emoji3]
Hao walio bahatika ,wanaume wengine akuachie hela,bado umuombe,thubutu
 
Mimi nina familia ya watu wa3 naacha ten au naweza acha 70 wiki nzima wakati kila kitu kipo ndani yani unga mchele na mazaga ya sokoni. Nikiacha hela ya mwezi mzima tunagombana kwani inaisha ndani ya wiki 2 tu sijui anacheza kikoba sielewi.
Hahaaa
Mi hata hiyo 10 per day kikoba nacheza vzr tu
 
Huyo mkeo nae kweli mpumbavu!
Umeachiwa laki 4,unapiga cm kusema luku imeisha!
Kwani hiyo hela umeachiwa ya nnni?duh jmn!
 
Duh na baba/mama mkwe? Hongera
Baba / mama yako pia unawapa?
 
[emoji23][emoji23]kweli
Ila wanawake wachoyo jmn[emoji119]
 
Ingawa tunajua kuwa ndugu hawanaga shukrani (watajaa kwako vinono vikiwepo na vikiisha watakimbia), ila kama mungu kakubariki wahudumie tu hasa swala la chakula na makazi.

Nimezipokea pongezi zako mkuu, asante sana.
Sina hamu na ndugu mie
Kwetu tulikuwa wengi baba/mama yangu ndo walikuwa hivi nyumba imejaa ,watt tuko 4 ila tunazidi 10 -15
Sahivi ,inasikitisha sana!
Ila Bwana ni mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…