Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

Sina hamu na ndugu mie
Kwetu tulikuwa wengi baba/mama yangu ndo walikuwa hivi nyumba imejaa ,watt tuko 4 ila tunazidi 10 -15
Sahivi ,inasikitisha sana!
Ila Bwana ni mwema!
Ninawajua ndugu na namna walivyo hivyo naelewa ulichotaka kusema ingawa haujaeleza. Miaka ile wakatii mzee wangu yupo tulikuwa tumejaza ndugu home balaa na nikawa naona kama tunaishi kwa upendo. Alipokuja kufariki mzee basi ndugu walikatika na hakuna hata mmoja aliyejishughulisha hata kujua tunaishije.

Mungu alivyo waajabu katika tumbo la mama yetu hakuna hata mmoja mbangaizaji wa maisha, leo ukienda kwenye kila mji wa ndugu zangu( sisi watoto wa marehemu) ndugu hawakatiki😀.

Ndugu sio watu wakutegemea, wenyewe hujaa ile sehemu inayowapa uhakika wa kula na kulala tu, vikiisha hivyo utaona kila mmoja anakumbuka kuwa ana kwake.
 
Kawaida mtu mwenye akili zake anaacha 30k kwa siku kama hana basi anasema .
Kuliko mtu maisha ndio haya unaachiwa 10k hamna hata vitu vya jumla nikutesana tu.
30 na bado amenunua vitu ndani vyote hapo niuchumba tu je ndoa .
Nawe mumeo ndo anakuachia 30k?[emoji848][emoji849]
Maana niliona tangazo lakufind Ndoa[emoji1787][emoji1787][emoji2]
 
Kawaida mtu mwenye akili zake anaacha 30k kwa siku kama hana basi anasema .
Kuliko mtu maisha ndio haya unaachiwa 10k hamna hata vitu vya jumla nikutesana tu.
30 na bado amenunua vitu ndani vyote hapo niuchumba tu je ndoa .
30,000×5=150,000×4=600,000/Month
10,000×5=50,000×4=200,000/Month

Hapo hatujapigia hesabu za matumizi ya weekends. Na kama mahitaji yapo ndani walau unaachiwa sh ngapi?
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
kumbe na baba na mama mkwe wanawekwa kwenye hesabu!! Basi hiki ndo kinaweza kuwa chanzo cha vijana wengi kutooa! Nilikuwa najua kuwa ntakuwa natoa 5,000 kwa siku, kazi kwisha! Ningevuta chombo hata kesho kutwa!!

Wale ni wazazi wako vile vile usiwe mbinafsi kaka.

Kama uwezo upo usinunue gari ya million 100 wkati wakwe zako wanaganga njaa.


Mimi natoa sababu ya uwezo halafu pili mke wangu amenisapoti Sana kipindi sina hela sioni sababu ya kuwa mbinafsi kwa wazazi wake
 
Mkuu kila mwezi unatoa pesa kwa familia ya ukweni.

Sinw mwmlaka na pesa ysko samahani ila huo utaratibu sio mzuri.

Kama vipi mkuu komaa wajifungulie japo kamradi waejdeshe maisha yao kuliko kuwapa kila mwezi shin kadhaa

Ba mkwe mlevi tu nampa ai enjoy siku za uzee wake[emoji23][emoji23][emoji23]

Ma mkwe ana biashara tyr
 
Daah hongera hawa ndio wale wanaomba alio waimba Juma Nature "wenye nguvu za Simba na wasiogopa risasi......".

Nakuombea husidrop kiuchumi manake utakuwa ushajitengenezea kijehanum kako hapa hapa duniani.

Mimi nimetokea chini hlf nina maamuzi magumu ukiona natoa hivyo ujue ndo uwezo wangu ukishuka nashusha na wala sijali.
 
Familia yangu ni kubwa kidogo(watu 9), zamani ikikuwa ni 15, ula sikuhizi naweza acha 25K au 20K kutokana na wanachotaka kuandaa( chai, cha mchana na usiku)

MAISHA yakikaza tunakoelea tutaanza kula tembele[emoji3].
Una shule kaka
 
Mimi na wife wote Ni watumishi kwahiyo wote tunapata mshahara mwisho wa mwezi japo kipato changu ni kikubwa compared to wife.Mimi nalipa ada za watoto 4 pia nafanya ujenzi na kuanzisha vitega uchumi.Wife anashughulika na chakula,bill za maji na umeme pamoja na malipo ya house girl.Ikitokea amekwama mahali namsupport japo ni Mara chache kukwama.
 
sema
sema hiyo bajeti yako kwa mwezi ni sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…