Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ninawajua ndugu na namna walivyo hivyo naelewa ulichotaka kusema ingawa haujaeleza. Miaka ile wakatii mzee wangu yupo tulikuwa tumejaza ndugu home balaa na nikawa naona kama tunaishi kwa upendo. Alipokuja kufariki mzee basi ndugu walikatika na hakuna hata mmoja aliyejishughulisha hata kujua tunaishije.Sina hamu na ndugu mie
Kwetu tulikuwa wengi baba/mama yangu ndo walikuwa hivi nyumba imejaa ,watt tuko 4 ila tunazidi 10 -15
Sahivi ,inasikitisha sana!
Ila Bwana ni mwema!
Mungu alivyo waajabu katika tumbo la mama yetu hakuna hata mmoja mbangaizaji wa maisha, leo ukienda kwenye kila mji wa ndugu zangu( sisi watoto wa marehemu) ndugu hawakatiki😀.
Ndugu sio watu wakutegemea, wenyewe hujaa ile sehemu inayowapa uhakika wa kula na kulala tu, vikiisha hivyo utaona kila mmoja anakumbuka kuwa ana kwake.