Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Hawa walinzi wa viongozi wa kitaifa ni walinzi maalum wenye taaluma hiyo na wanakikosi chao maalum. Kumlinda kiongozi yeyote is just a duty station sio permanent. Tuelewe hilo na tuache mihemku isikuwa na mashiko Magufuli hakuondoka na walinzi wake wapo hai na wapo kazini wasipangiwe kazi kwasababu waliwahi kuwa walinzi wa Magufuli? Duu waTZ aisee.
 
Mtoa mada ni mpumbavu kweli, ulitaka akalinde kaburi la Hayati?Au unafikiri ukiwa mlinzi wa Rais na ww cheo kimepanda?
Tena huyo nafikiri anashukuru Mungu bado anazunguka atakula posho, imagine mlinzi wa Mizengo Pinda ana hali gani maana trip kwenye mizinga ya nyuki, trip kwenye Mashamba ya mahindi
 
Chifu elimu siyo sababu hata kidogo......Tulia (PhD) alikuwa msaidizi wa Ndugai ambaye hana hiyo PhD
Labda kwa sababu Ndungai alikuwa tayari ni Spika wakati Tulia anaingia bungeni !
 
Magu alimpenda Sana huyu jamaa...
 
Mbwa ni wewe kolo,mlimzi ni mlimzi tuu anaweza pangiwa hata kulinda gereza.
Yaani akili zetu wabongo tunaamini kwamba wewe ukishakuwa huko juu basi tena wewe ni wa huko huko juu hutakiwi tena kushuka chini !! Hii ni dhana inayohalalisha walio juu watudharau sisi tulioko chini !! Wajameni ndio maana wengine wakilazimishwa kushuka wanajificha wasionekane kama vile Dunia imefika mwisho wake !!
 
Umeshindwa kutetea hoja ,unadhani kumlinda Rais ni sawa na kumlinda NS ni kweli kuna vitu atavikosa Rais ni mtu mzito.
Unaona ni sawa kulinda kaburi na kulinda mtu aliye hai na ni Naibu Spika? Huyu ukimuuliza atakuambia sasa anafurahia kazi yake ya ulinzi kuliko wakati mwingine wowote maishani kwake.
 
Kaka malizia tu kuna members wengine wajinga sana...
 
Kweli kabisa kwa sababu hana tension kubwa ya kazi yake hapo alipo kwa sasa !
Unaona ni sawa kulinda kaburi na kulinda mtu aliye hai na ni Naibu Spika? Huyu ukimuuliza atakuambia sasa anafurahia kazi yake ya ulinzi kuliko wakati mwingine wowote maishani kwake.
 
Unaona ni sawa kulinda kaburi na kulinda mtu aliye hai na ni Naibu Spika? Huyu ukimuuliza atakuambia sasa anafurahia kazi yake ya ulinzi kuliko wakati mwingine wowote maishani kwake.
Asikudanganye mtu wewe,ikulu pasikie hivyo hivyo,kila mtu angependa kufanya kazi ikulu na mkuu wa nchi.NS ni mtu mdogo sana kwa rais,ni sawa na dereva wa rais amuendeshe NS haiwezi kuwa sawa,ikulu ni nusu pepo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa rais aliyekuwa anamlinda, ambaye pengine alimtaka tu kwa kupendekezwa na mtu, amefariki, ina maana kama aliyepo hamtaki basi huyu hata angeweza kustaafishwa au kurudi mezani. Au akalinde kaburi Chato, sasa kipi bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…