Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Wamempa kwasababu ya uzoefu maana amekuwa mwenyekiti wa muda mrefu.

Ila barabara za Ilala Ni ovyoo sana.

Yaani Ilala yenye mapato makubwa inazidiwa kabisa hata na Temeke.
Temeke ina meya wao nadhani ni mzawa wa temeke yule hakika kaitendea haki ile wilaya.
 
Alhaji Akiwa Kazini
Screenshot_20220305-104736.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekurupuka huyo

Vice Speaker bado ni VIP na jamaa wanadeal na VIP's na nafasi iliyokua wazi ndiyo hiyo kwa Zungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza wa Rais haiitwi mlinzi yule ni msaidizi mastory ya mademu na michepuko wana piga sana it's way far than just guiding him....Kutoka P mpaka G, kutoka mgongo wa moja mpaka wa nane sijui tisa huko bado mnaona sio demotion aya endeleeni
 
Kati ya ng'ombe na mbwa nani anapendwa na boss wake?
Inategemea na boss, kwa mfano boss kama Wema Sepenga anampenda sana mbwa wake mpaka akamfanyia shopping ya maelfu ya hela. Na alipopotea alitangaza kwenye social media mbali mbali. Ila kwaupande mwingine boss wa kisukuma au wa kimasai nadhani atapenda zaid ng'ombe
 
Hata mimi ni msukuma, hakuna mbwa anayekaa zizini na ng'ombe
 
Angekuwa mpishi wa Zungu Labda tungeshangaa, lakini Mlinzi? Si ndio kazi yake?!
 
Mnajadili fani zisizojadilika nakupata majibu.waachieni wenyewe wapangane.
Mmesahau bosi aliwahipanguwa kuwa RAS leo ndio mkuu manyeti wote
 
Back
Top Bottom