Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Daah alijua kunenepa kumzidi Boss wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hayupo Sasa.Ilipaswa awepo nae huko jehanamu akimlinda.
ndio ccm yenyewe hiyoIla zungu basi tu lakini Ilala ina barabara za hovyo Dar nzima.
Temeke ina meya wao nadhani ni mzawa wa temeke yule hakika kaitendea haki ile wilaya.Wamempa kwasababu ya uzoefu maana amekuwa mwenyekiti wa muda mrefu.
Ila barabara za Ilala Ni ovyoo sana.
Yaani Ilala yenye mapato makubwa inazidiwa kabisa hata na Temeke.
Kwanza wa Rais haiitwi mlinzi yule ni msaidizi mastory ya mademu na michepuko wana piga sana it's way far than just guiding him....Kutoka P mpaka G, kutoka mgongo wa moja mpaka wa nane sijui tisa huko bado mnaona sio demotion aya endeleeniAmekurupuka huyo
Vice Speaker bado ni VIP na jamaa wanadeal na VIP's na nafasi iliyokua wazi ndiyo hiyo kwa Zungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na boss, kwa mfano boss kama Wema Sepenga anampenda sana mbwa wake mpaka akamfanyia shopping ya maelfu ya hela. Na alipopotea alitangaza kwenye social media mbali mbali. Ila kwaupande mwingine boss wa kisukuma au wa kimasai nadhani atapenda zaid ng'ombeKati ya ng'ombe na mbwa nani anapendwa na boss wake?
Hata mimi ni msukuma, hakuna mbwa anayekaa zizini na ng'ombeInategemea na boss, kwa mfano boss kama Wema Sepenga anampenda sana mbwa wake mpaka akamfanyia shopping ya maelfu ya hela. Na alipopotea alitangaza kwenye social media mbali mbali. Ila kwaupande mwingine boss wa kisukuma au wa kimasai nadhani atapenda zaid ng'ombe
Kama Muya tu katoka mgongoni kwa Magu mambo yalivyokorogeka akapelekwa DSO Moshi.Wapo Chattlo Bado wanalinda Kaburi. Alhaji amepelekwa Kwa Mda Tu Ila atapangiwa kuwa RSO Siku Sio nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngusa ni mnaa ndo maana akapata demotion.Asante Mayalla, Ngusa alikuwa ni Mnikulu leo hii ni Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, kwa hiyo nayo ni demotion...ukiwa mtumishi wa umma, mwajiri ana uhuru wa kukupangia kazi kadiri ya anavyoona inafaa
Kwani bwana wenu naniKati ya ng'ombe na mbwa nani anapendwa na boss wake?
ihiiiiiAu nasema uongo ndugu zangu?
AaahaaaAlhaji hebu na wewe changia kidogo ujenzi wa msikiti huu wa Chamwino. Toha ahadi hapahapa.. CCM oyee Chamwino oyee.