Hivi mnaamini haya magari ya kutembelea ya mchina yanayokuja Africa?

Waingereza sijui hata kama wanatengeneza magari bado,waliuza kila kitu
LR Jaguar bado zinatengenezwa Solihull karibu na Birmingham. Moja ya makubaliano na mnunuaji Tata ni kuwa hakuna kinachobadilika kwenye production lines.
Mini bado inatengezwa Oxfordshire UK ingawa iliuzwa kwa BMW pia.
Honda kuna plant Swindon, Honda za UK ni gari za kiwango cha juu sana.
Toyota kiwanda kipo Derby
Nissan kiwanda kipo Sunderland
Bado magari mengine ambayo Tz hamyajui kama Morgan,Lotus,TVR etc
 
Nasikia Jaecoo 7 sasa ni number one best selling car in UK
 
Hu Jintao njoo mkuu Xi Jinping amerithi tu shida ni wewe.
 
Mkuu zile golden dragon za mwendokasi gearbox ni German origin na engine ni American Cummins, body ndio maranda ya mbao za kichina na tubati twepesi twa hapo alaf {kidding}.
 
2026 sijaangalia kwasababu haijaisha. Data za 2026 zitatoka mwakani.
According to the latest year-to-date data compiled by the Society of Motor Manufacturers and Traders (SMMT), the most popular new cars registered in the UK are dominated by practical compact crossovers and SUVs: [1, 2]
  1. Ford Puma (42,926 registrations)
  2. Jaecoo 7 (39,473 registrations)
  3. Kia Sportage (37,085 registrations)
  4. Nissan Qashqai (33,082 registrations)
  5. Vauxhall Corsa (27,390 registrations) [1]
 
Ngoja kwanza kaka ,sisi wamatumbi tumeingiaje hapo?πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…