Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

Mkuu serikalini yapo but sio sana kwa sababu huku kufukuzwa kazi ni nadra sana.sana sana atakuchongea utakosa posho posho.
 
Mkuu serikalini yapo but sio sana kwa sababu huku kufukuzwa kazi ni nadra sana.sana sana atakuchongea utakosa posho posho.
 
Serikalini yapo hayo sana tu. Ila uzuri Serikalini hakuna kufukuzana kazi kijingajinga kama private.
 
Nilianza kazi mwezi wa kwanza nimeanza na mshahara mkubwa kuliko staff niliowakuta asee ilikua ni vita hakuna rangi sijaiona mpaka nikavunja mkataba mwezi wa 8. Private sector sio poa now niko juu ya mawe natafuta connection
shida ilikua nini?
ilikuaje uwaoneshe mshahara wako mshahara huwa ni siri
 
kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…