Yes, ukikaa kitaalam unaepuka changamoto nyingi sana.Hii siri watu wengi hawaijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, ukikaa kitaalam unaepuka changamoto nyingi sana.Hii siri watu wengi hawaijui
Labda Serikali ya mwaka 1980 ndio kulikuwa na kurogana.Huko serikalini kurogana ndiyo kwenyewe, uchawi wote, uujuwao na usioujuwa, bila kusahau rushwa zote uzijuazo, mpaka za ngono usizozijuwa.
Labda Serikali ya mwaka 1980 ndio kulikuwa na kurogana.Huko serikalini kurogana ndiyo kwenyewe, uchawi wote, uujuwao na usioujuwa, bila kusahau rushwa zote uzijuazo, mpaka za ngono usizozijuwa.
Huwa hawana Qualifications, Wanaajiriwa kwa vimemo, sasa subiri aanze kazi aanze kujua jua vitu kidogo mtakoma. Majungu maofisini, unaweza kudhani hamkwenda vyuo, na mkaelimika.Tena akishakuwa mwanaccm anakuwa kama amelogwa vile.
yaanOngezea hapo na Kujipendekeza na kujichekesha chekesha hata kama bosi kaongea upuuzi...
atleastSerikalini yapo hayo sana tu. Ila uzuri Serikalini hakuna kufukuzana kazi kijingajinga kama private.
😂😂Huwa hawana Qualifications, Wanaajiriwa kwa vimemo, sasa subiri aanze kazi aanze kujua jua vitu kidogo mtakoma. Majungu maofisini, unaweza kudhani hamkwenda vyuo, na mkaelimika.
shida ilikua nini?Nilianza kazi mwezi wa kwanza nimeanza na mshahara mkubwa kuliko staff niliowakuta asee ilikua ni vita hakuna rangi sijaiona mpaka nikavunja mkataba mwezi wa 8. Private sector sio poa now niko juu ya mawe natafuta connection
kwakweliHakuna sehemu hakuna fitna na ulozi, hata huko private sector kifupi hata iwe mashirika makubwa mfano Afya huko madaktari wenyewe ni walozi wanagombea vyeo etc.......ila serikalini ni vile mtu kufukuzwa kazi ni hadi suruali na sketi zichakae kwa vikao ndiyo muhusika afukuzwe 😁😁😁😁 ila kuchongewa ni kugusa tu na mtu akikuwini km uko sehemu nzuri labda mjini anakufanyia fitna unapelekwa samvulachole huko ukacheze na nyani! Na kuna watu wanauwezo wa kupangua barua za uhamisho ni balaaa ukiwa na urafiki na walinzi wale wa getini wanahabari za wafanyakazi wanaoenda usiku na wataalamu wao na vichwa vya mbuzi kuzika/kufukia huko maofisini. na baada ya muda unasikia uhamisho umesitishwa oooh na wakati mlikuwa mnataarifa au hata mmeona barua fulani anahamishwa🤣🤣🤣🤣 muhimu ni kujikabidhi kwa Mungu kwenye kila hatua