Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

Mkuu serikalini yapo but sio sana kwa sababu huku kufukuzwa kazi ni nadra sana.sana sana atakuchongea utakosa posho posho.
 
Mkuu serikalini yapo but sio sana kwa sababu huku kufukuzwa kazi ni nadra sana.sana sana atakuchongea utakosa posho posho.
 
Serikalini yapo hayo sana tu. Ila uzuri Serikalini hakuna kufukuzana kazi kijingajinga kama private.
 
Nilianza kazi mwezi wa kwanza nimeanza na mshahara mkubwa kuliko staff niliowakuta asee ilikua ni vita hakuna rangi sijaiona mpaka nikavunja mkataba mwezi wa 8. Private sector sio poa now niko juu ya mawe natafuta connection
shida ilikua nini?
ilikuaje uwaoneshe mshahara wako mshahara huwa ni siri
 
Hakuna sehemu hakuna fitna na ulozi, hata huko private sector kifupi hata iwe mashirika makubwa mfano Afya huko madaktari wenyewe ni walozi wanagombea vyeo etc.......ila serikalini ni vile mtu kufukuzwa kazi ni hadi suruali na sketi zichakae kwa vikao ndiyo muhusika afukuzwe 😁😁😁😁 ila kuchongewa ni kugusa tu na mtu akikuwini km uko sehemu nzuri labda mjini anakufanyia fitna unapelekwa samvulachole huko ukacheze na nyani! Na kuna watu wanauwezo wa kupangua barua za uhamisho ni balaaa ukiwa na urafiki na walinzi wale wa getini wanahabari za wafanyakazi wanaoenda usiku na wataalamu wao na vichwa vya mbuzi kuzika/kufukia huko maofisini. na baada ya muda unasikia uhamisho umesitishwa oooh na wakati mlikuwa mnataarifa au hata mmeona barua fulani anahamishwa🤣🤣🤣🤣 muhimu ni kujikabidhi kwa Mungu kwenye kila hatua
kwakweli
 
Back
Top Bottom