Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?

Hata mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi ni wafanyakazi wa serikali wakitumia free wi-fi. Muda mwingi wao huwa mitandaoni
 
Wengi Wetu ni waajiri, wengine jf wako kazini(Ofisini kwa na wengine Wana kazi ambazo haziwa keep kuwa busy nawachache ni ma jobless ambao mda mwingi ni walalamishi.

Mwisho kabisa mtu analipwa ruzuku kama Machadema unadhani atashinda wapi zaidi ya jf?

Iga ufe.
 
Ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…