Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?

Kwani wewe ulivyoandika hapa huoni kuwa na sisi uketuongezea update? Haya na wewe unafanya nini?
 
Pole sana sisi wengine ni walinda maudhui ya mtandaoni 24/7 hautukosi humu ukiyakanyaga tuu tunakufata hadi hapo ulipo...(joking) usichukulie serious hii comment yangu.
Mi naichukulia serious mkuu, maana kuna watu kazi yao ni kushinda mitandaoni kuset trends na wanalipwa kwa ajili ya hilo. { wazua taharuki , wabadili upepo etc. }
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…