Hivi mnawezaje kuishi Dodoma?

Dodoma hakuna milima wala mito hata mmoja ila vichuguu kibao.
πŸ˜€πŸ˜€Kumbe kule walipojenga Udom ni vichuguu!!?,Kwa Waziri Mkuu Area D ni vichuguu!!? ,Imagi Hill kwenye minara ni vichuguu...!!? Ihumwa Jeshini ni vichuguu..!!?, Ikulu ni vichuguu..!!? Milima nyuma ya gereza la Isanga ni vichuguu...!!?
Chuki+wivu ni hatari kwa afya yako aisee
 
Upo sahihi Mkuu.

Dodoma ni uwe umeyapatia maisha tayari. Ni pagumu mno, lakini huwenda ndio sehemu inakua kwa kasi na fursa zinaonekana.

Ni kupambana hapohapo.
Sio huwenda ,Bali ndio ukweli kwamba Jiji linakua Kwa Kasi.

Dom sio sehemu ya kuishi maskini,hao Waendelee Mwanza,Dar,Mbeya,Songwe na Sumbawanga wanakokula chapati na maharage Kwa jero.
 
huyo jamaa ni walewale "hater" nina wasiwasi kama kweli amewahi kufika Dom manake anajichanganya mwenyewe anasema eti anakaribia mwakamzima hajaona mvua wakati msimu wa masika mwakahuu Dom mvua ilinyesha ya kutosha hadi kuvunja rekodiπŸ˜€πŸ˜€
Hao ni wale wanaosimuliwa.Kwanza Dom ya Sasa imepandwa miti Mingi sana na sijui huo Ukame wanaoutaja ni upi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilikaa wiki 2 tu ngozi ikawa na madoa doa meusi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Karibu Hapa Kili
 
Dom hapana hizo situation nilizotaja,no anything extremely so pako liveable Kwa factors nyingi sana kushinda Dar
Si unaweza kuishi uko wewe?
Mimi sipataki na sina ulazima kuishi Dodoma.
Hutaki kuishi Njombe na Dar na unaona uko sawa, ila mtu akisema hataki kuishi Dodoma unamuita mjinga. Wewe mwenye akili ishi Dodoma wala usitumie nguvu nyingi kulazimisha kila mtu aishi uko.
 
Nilikuwa nimejifanya ngunguri nikaenda pale Chef Asili kusubiri basi mida ya saa moja.Nilipigwa na baridi mpaka nikanunua uji wa mchele bila kupenda.Kuna upepo Dodoma usiku sijawahi ona.
Hahahaha 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ˜‚
Nimecheka sanaaaa aisee!!!!
Vipi haujaungua mdomo baada ya kumaliza uji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…