Sababu kubwa ni umasikini,unakuta hio ndio "option" pekee iliyobaki.
Maisha ya bongo ni one man show,hakuna ndugu wa kukusaidia
Waarabu wanaishi kiundugu kama uislam ulivoandikwa kwenye QURAN,unaweza lelewa na mama mdogo ama mjomba kama tu mtoto wako,ndio maana hata homeless kule U.S huwezi Kuta mwaarabu,
Umeshawahi ona omba omba mwaarabu?
Waarabu ni watu wanaouishi uislam na kwenye uislam Kuna clear cut kati ya majukumu ya kike na ya kiume,ukiwemo vita.......Saudi Arabia ina maendeleo mara 100 ya Tz,ila hata kuendesha gari Sheria haina hata miaka 5 ndio imeruhusu,tena asiwe mwanamke peke yake
Jibu ni kuwa sheria zinatungwa kufuata matakwa ya jamii hazijakuwepo kama biblia au quran kuwa zifuatwe tu bila kurekebishwa kwa hapo tutarekebisha kulingana na uhitaji
Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wakoJKT aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?
Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline haina soldiers wa kike hii ni dhahili kuwa mtoto wa kike sio wa tasnia ya ulinzi, wako soft sana na siku zote ni wa kupambaniwa na wanaume
Tofauti na vigogo ambao hata watoto wao wakiwa wanajeshi na askari huwa katika vitengo maalum ambavyo kwa namna moja au nyingine wanakuwa hawahusiki na mission ngumu ngumu na lindo, kwa masikini mwenzangu kumpeleka mtoto wako akafanye kazi za ulinzi ni ukosefu wa uwajibikaji kwa mtoto wa kike ni hayo tu.
Mara nyingi nimekuwa nazungumza nao hasa agemates au wadogo nawashauri wajikite kwenye ufundi cherehani, mapishi, ususi na urembo, zaidi hizi akiwekeza kujifunza, akawa na mtaji ama akaajiriwa ni salama zaidi kwao

maneno yako hayana tofauti na ya yule mama wa vijisenti vya mboga au wakati ule wakazi wa kigamboni tulipoambiwa tulishindwa kulipia kivuko tupige mbizi...

Malipo yao ni kama hisani fulani hivi kutegemea na utashi wa wakubwa wao. Wanalipwa kati ya laki moja na laki mbili na nusu tena kwa mbinde kweli kweli.