Hivi mnawezaje kuwapeleka watoto wenu wa kike wakafanye kazi za ulinzi?

Sababu kubwa ni umasikini,unakuta hio ndio "option" pekee iliyobaki.
Maisha ya bongo ni one man show,hakuna ndugu wa kukusaidia
Waarabu wanaishi kiundugu kama uislam ulivoandikwa kwenye QURAN,unaweza lelewa na mama mdogo ama mjomba kama tu mtoto wako,ndio maana hata homeless kule U.S huwezi Kuta mwaarabu,
Umeshawahi ona omba omba mwaarabu?
Waarabu ni watu wanaouishi uislam na kwenye uislam Kuna clear cut kati ya majukumu ya kike na ya kiume,ukiwemo vita.......Saudi Arabia ina maendeleo mara 100 ya Tz,ila hata kuendesha gari Sheria haina hata miaka 5 ndio imeruhusu,tena asiwe mwanamke peke yake
Ni kweli tu maskini lakini kuna kazi nyingine za kimaskini kwa wanawake tofauti na ulinzi tuwatafutie kazi nzuri nzuri watoto wetu wa kike

Kuna mwingine binti mbichi tu wa form4 anampeleka huko wakati option zipo nyingi tu kwa umri huo
 
Sasa sheria inasema wanawake wasachiwe na wanawake wenzao, nani atawasachi kusipokua na wanawake walinzi ?
Swali zuri na fikirishi pia

Jibu ni kuwa sheria zinatungwa kufuata matakwa ya jamii hazijakuwepo kama biblia au quran kuwa zifuatwe tu bila kurekebishwa kwa hapo tutarekebisha kulingana na uhitaji
 
Simaanishi wasifanye hapana maisha ni magumu mkuu inabidi lakini hasa kazi za ulinzi ni ngumu na mshahara kidogo sana....... Plus mazingira yake...

Niseme tuu hivyo Mr
Tuwachagulie kazi nzuri watoto wetu wa kike zipo nyingi tu tofauti na ulinzi
 
Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume

Inatokea mzazi unampeleka mtoto wakoJKT aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?

Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline haina soldiers wa kike hii ni dhahili kuwa mtoto wa kike sio wa tasnia ya ulinzi, wako soft sana na siku zote ni wa kupambaniwa na wanaume

Tofauti na vigogo ambao hata watoto wao wakiwa wanajeshi na askari huwa katika vitengo maalum ambavyo kwa namna moja au nyingine wanakuwa hawahusiki na mission ngumu ngumu na lindo, kwa masikini mwenzangu kumpeleka mtoto wako akafanye kazi za ulinzi ni ukosefu wa uwajibikaji kwa mtoto wa kike ni hayo tu.
Unataka kuwasagia kunguni wale wooote (Ke)walio huko JW; Magereza; Polisi; ; Wanyama pori; Uhamiaji n.k. wasitishe Ajira kwa kisa ni mtoto wa kike?.
Utakuwa hujawatendea haki. Mpe kazi, akishindwa badilisha weka mwanaume.
 
Mara nyingi nimekuwa nazungumza nao hasa agemates au wadogo nawashauri wajikite kwenye ufundi cherehani, mapishi, ususi na urembo, zaidi hizi akiwekeza kujifunza, akawa na mtaji ama akaajiriwa ni salama zaidi kwao
 
Unawapa ushauri mzuri sana na hizo ndio kazi za kike
 
Unataka kuwasagia kunguni wale wooote (Ke)walio huko JW; Magereza; Polisi; ; Wanyama pori; Uhamiaji n.k. wasitishe Ajira kwa kisa ni mtoto wa kike?.
Utakuwa hujawatendea haki. Mpe kazi, akishindwa badilisha weka mwanaume.
Kwa watoto wa vigogo sina shida nao hao ni vitengo maalum hao course nzima ya jkt ni maselule na vyeti wanapewa
 
Back
Top Bottom