RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Uchumi uchumi uchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli tu maskini lakini kuna kazi nyingine za kimaskini kwa wanawake tofauti na ulinzi tuwatafutie kazi nzuri nzuri watoto wetu wa kikeSababu kubwa ni umasikini,unakuta hio ndio "option" pekee iliyobaki.
Maisha ya bongo ni one man show,hakuna ndugu wa kukusaidia
Waarabu wanaishi kiundugu kama uislam ulivoandikwa kwenye QURAN,unaweza lelewa na mama mdogo ama mjomba kama tu mtoto wako,ndio maana hata homeless kule U.S huwezi Kuta mwaarabu,
Umeshawahi ona omba omba mwaarabu?
Waarabu ni watu wanaouishi uislam na kwenye uislam Kuna clear cut kati ya majukumu ya kike na ya kiume,ukiwemo vita.......Saudi Arabia ina maendeleo mara 100 ya Tz,ila hata kuendesha gari Sheria haina hata miaka 5 ndio imeruhusu,tena asiwe mwanamke peke yake
Swali zuri na fikirishi piaSasa sheria inasema wanawake wasachiwe na wanawake wenzao, nani atawasachi kusipokua na wanawake walinzi ?
Tuwachagulie kazi nzuri watoto wetu wa kike zipo nyingi tu tofauti na ulinziSimaanishi wasifanye hapana maisha ni magumu mkuu inabidi lakini hasa kazi za ulinzi ni ngumu na mshahara kidogo sana....... Plus mazingira yake...
Niseme tuu hivyo Mr
Unataka kuwasagia kunguni wale wooote (Ke)walio huko JW; Magereza; Polisi; ; Wanyama pori; Uhamiaji n.k. wasitishe Ajira kwa kisa ni mtoto wa kike?.Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wakoJKT aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?
Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline haina soldiers wa kike hii ni dhahili kuwa mtoto wa kike sio wa tasnia ya ulinzi, wako soft sana na siku zote ni wa kupambaniwa na wanaume
Tofauti na vigogo ambao hata watoto wao wakiwa wanajeshi na askari huwa katika vitengo maalum ambavyo kwa namna moja au nyingine wanakuwa hawahusiki na mission ngumu ngumu na lindo, kwa masikini mwenzangu kumpeleka mtoto wako akafanye kazi za ulinzi ni ukosefu wa uwajibikaji kwa mtoto wa kike ni hayo tu.
Mara nyingi nimekuwa nazungumza nao hasa agemates au wadogo nawashauri wajikite kwenye ufundi cherehani, mapishi, ususi na urembo, zaidi hizi akiwekeza kujifunza, akawa na mtaji ama akaajiriwa ni salama zaidi kwaoTuwachagulie kazi nzuri watoto wetu wa kike zipo nyingi tu tofauti na ulinzi
Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wakoJKT aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?
Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline haina soldiers wa kike hii ni dhahili kuwa mtoto wa kike sio wa tasnia ya ulinzi, wako soft sana na siku zote ni wa kupambaniwa na wanaume
Tofauti na vigogo ambao hata watoto wao wakiwa wanajeshi na askari huwa katika vitengo maalum ambavyo kwa namna moja au nyingine wanakuwa hawahusiki na mission ngumu ngumu na lindo, kwa masikini mwenzangu kumpeleka mtoto wako akafanye kazi za ulinzi ni ukosefu wa uwajibikaji kwa mtoto wa kike ni hayo tu.
Unawapa ushauri mzuri sana na hizo ndio kazi za kikeMara nyingi nimekuwa nazungumza nao hasa agemates au wadogo nawashauri wajikite kwenye ufundi cherehani, mapishi, ususi na urembo, zaidi hizi akiwekeza kujifunza, akawa na mtaji ama akaajiriwa ni salama zaidi kwao
Ndiyo mkuu..... Nawaambia ukiona chuo huwezi ama akili hainasi madude, Bora wajikite huko kunafaa zaidi.....Unawapa ushauri mzuri sana na hizo ndio kazi za kike
Zote ni kazi za Ulinzi Boss misharaha na Maslahi tuuUnadhani kumlinda rais anapata hiyo nafasi chapalikanchuri wa isimikinyi huko? Jidanganye
Kwa watoto wa vigogo sina shida nao hao ni vitengo maalum hao course nzima ya jkt ni maselule na vyeti wanapewaUnataka kuwasagia kunguni wale wooote (Ke)walio huko JW; Magereza; Polisi; ; Wanyama pori; Uhamiaji n.k. wasitishe Ajira kwa kisa ni mtoto wa kike?.
Utakuwa hujawatendea haki. Mpe kazi, akishindwa badilisha weka mwanaume.
Dah,si mchezo.Malipo yao ni kama hisani fulani hivi kutegemea na utashi wa wakubwa wao. Wanalipwa kati ya laki moja na laki mbili na nusu tena kwa mbinde kweli kweli.
Ndio hiyo ndiyo kazi yao kuu kutuliza miili ya maafande hakuna kazi nyingine.Wanawake wanawekwa jeshini ili wawe kipozeo Nini kwa wanaume wenye ugwadu!?
Mimi naona Ni sahihi kabisa, wanawake wa Leo wamekua manunda Sana
Wazae kwa uchungu wale kwa jasho, siwamejazana vichwa kuwa wanaweza
Ndio hiyo ndiyo kazi yao kuu kutuliza miili ya maafande hakuna kazi nyingine.