kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kulingana na ajiza za ulimwengu wa leo, kazi ni kazi ili mradi mkono uende kinywani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wako jkt aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?
Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline haina soldiers wa kike hii ni dhahili kuwa mtoto wa kike sio wa tasnia ya ulinzi, wako soft sana na siku zote ni wa kupambaniwa na wanaume
Tofauti na vigogo ambao hata watoto wao wakiwa wanajeshi na askari huwa katika vitengo maalum ambavyo kwa namna moja au nyingine wanakuwa hawahusiki na mission ngumu ngumu na lindo, kwa masikini mwenzangu kumpeleka mtoto wako akafanye kazi za ulinzi ni ukosefu wa uwajibikaji kwa mtoto wa kike ni hayo tu.
Hapana mkuu hao ni askari wa Ukraine waliopo Frontline wakipigana na Urusi...Movie
Hoja yangu ni kuwa hivyo vitengo vya kuwa medical doctors na vingine havipati chapalikanchuri na mbugila mbugila kwa nchi zetu hizi za kujuanaKwanza usifananishe kampuni za ulinzi na jeshi, jeshi ni different levels , different roles.
Hivi ni vitu viwili tofauti
Naona unajichanganya sana, front line ina watoto wa kike, mostly ni field medics, snipers (japo wachache) , wengi ni field hospital front line, wengine wako MI wana conduct recon, wengine ni marubani waki conduct flight sorties
Ulichoandika ni sahihi kabisa lakini kwa hali hii ya maisha tutafanyaje!? Maisha ya huku mtaani ni zaidi ya ulinzi. Acha wakajipambanie.Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wako jkt aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?
Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline haina soldiers wa kike hii ni dhahili kuwa mtoto wa kike sio wa tasnia ya ulinzi, wako soft sana na siku zote ni wa kupambaniwa na wanaume
Tofauti na vigogo ambao hata watoto wao wakiwa wanajeshi na askari huwa katika vitengo maalum ambavyo kwa namna moja au nyingine wanakuwa hawahusiki na mission ngumu ngumu na lindo, kwa masikini mwenzangu kumpeleka mtoto wako akafanye kazi za ulinzi ni ukosefu wa uwajibikaji kwa mtoto wa kike ni hayo tu.
Unaijua kauli mbiu ya JKT bwashee 😀😀😀..? kuwa mboga ni nadharia za uraiani tuuKwanza mi huwa nashangaa sana hata wale wanaoruhusu watoto wao wa kike kupitia jeshi baada ya form six,.....hamna cha ukakamavu wanaoupata huko zaidi ya kwenda kuwa MBOGA za watu tu,......🚮🚮
✅✅✅Ulichoandika ni sahihi kabisa lakini kwa hali hii ya maisha tutafanyaje!? Maisha ya huku mtaani ni zaidi ya ulinzi. Acha wakajipambanie.
Umesema kweli mkuu nimepita huko nimeona mengi nawashauri wazazi wakatae hii kitu kwa watoto wao wa kikeKwanza mi huwa nashangaa sana hata wale wanaoruhusu watoto wao wa kike kupitia jeshi baada ya form six,.....hamna cha ukakamavu wanaoupata huko zaidi ya kwenda kuwa MBOGA za watu tu,......🚮🚮