Kitendawili tegaaaaaaaaaa😀😀😀Nzi ana miguu mingapi?.
Taja vitendawili ?.
Sad 😢Elimu ya wasira ndio wanataka iwenatumika yani hii nchi bwana.
Sio kwa sababu wewe unaendesha bodaboda ukadhani Burnsen Burner haina tija kwenye elimu.Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu.
Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa maisha ya baadae mfano miaka tuliyosoma kifaa cha bunsen burner kilikuwa ishu sana na siku hiyo mpaka mwalimu anawaandaa kwenda kuona moto unavyowaka.Ila kwa leo kuna majiko ya gesi yamejazana mpaka yana tulipukia majumbani.
Embu fikiria leo dunia inafundisha Quantum physics,AI,Advance techonology kwenye elimu kuanzia primary mpaka vyuo.
Kuna siku hapa tz tutawekewa mtaala wa somo la CCM.
Wanakuwa kama Watangazaji akina Zembwela eti kwa sababu tu Kukaa Studio na kuanza vichekesho hakuhitaji kwenda School of Journalism.Pamoja na Maendeleo yote ya teknolojia, Japan bado wanafundisha watoto wao kutumia 'abacus' kwenye somo la hisabati!
HATUWEZI KUACHA KUFUNDISHA MAMBO YA MSINGI, ETI KWA SABABU TEKNOLOJIA IMEKUA!
Hawa jamaa wanadhani kwamba Mtoto asiyejua hata kutofautisha Burnig flame na non Burning Flame anaweza kujua Diode ya kwenye Simu?Hiko kifaa hakiepukiki kama zana ya kufundishia duniani kote,
Ndo nyie mafundi mliokalili gari za manual toyota mnasingizia nissan gari mbovu kumbe mfahamu kuwa gari za sasa zina umeme toka ethiopia alisikika samiaHawa jamaa wanadhani kwamba Mtoto asiyejua hata kutofautisha Burnig flame na non Burning Flame anaweza kujua Diode ya kwenye Simu?
There is Always basic Foundation.
Kama unapesa peleka mbele yani hapa mtoto ananivua nguo anagonga code mpaka naogopa.Hivi kwa mfano mtoto aliyemaliza std 7 TZ kwa huu mtaala wetu, halafu mzazi akaona atafute scholarship ili mtoto akasome huko mbele. Je, akifika kule inakuwaje?