Hivi mpaka leo mitaala ya elimu yetu ni ile wanasoma Bunsen burner

Lazima ujue kuchora test tube laa sivyo unafeli chemistry
 
Reactions: Fbn
Ukitumia akili ndogo utaona Bunsen burner haina maana kufundishwa.
Sasa jijibu mwenyewe kama ni sawa au sio
 
Mbona uke bado upo kwenye vitabu vya biologia na kusomwa dunia nzima
 
Elimu ni Ile ya kukusaidiana kukabiliana na na mazingira yako,hiyo quantum physics inakusaidia kuvhoma mkaa?
 
Ukitumia akili ndogo utaona Bunsen burner haina maana kufundishwa.
Sasa jijibu mwenyewe kama ni sawa au sio
Kuna vitu vinachelewa akili mfano leo unaweza kusema kumiliki simu au gari ni mafanikio wakati ni basic need ya kawaida
 
Elimu ni Ile ya kukusaidiana kukabiliana na na mazingira yako,hiyo quantum physics inakusaidia kuvhoma mkaa?
Hivi unavyotumia unazani vimetoka kwenye akili zako za mkaa.Tuanzie unavyotumia mpaka hapa JF mpaka unafurahi kasi ya 5G imeotwa hiyo
 
Elimu yetu ipo bado 194x huko...Tuna hitaji seriousness kuvuka hapa
 

Attachments

  • snapins-ai_3672433938077860446.mp4
    2.2 MB
Reactions: Fbn
Elimu yetu ipo bado 194x huko...Tuna hitaji seriousness kuvuka hapa
Hatufahamu kuwa mtoto ni msingi.Ndio maana Japana wako makini na watoto
 
Kama unapesa peleka mbele yani hapa mtoto ananivua nguo anagonga code mpaka naogopa.
Sina pesa mkuu.

Pia, nimeuliza endapo sasa mzazi mwenye pesa akaamua kumpeleka huko majuu ama akapata Scholarship. Je, akifika atapigwa msasa kwanza kabla ya kuwajoin wenzake ama inakuwaje?
 
Sina pesa mkuu.

Pia, nimeuliza endapo sasa mzazi mwenye pesa akaamua kumpeleka huko majuu ama akapata Scholarship. Je, akifika atapigwa msasa kwanza kabla ya kuwajoin wenzake ama inakuwaje?
Inabidi kupigwa msasa kwanza maana mazingira ya elimu ya kule kukubariana nayo.
 
majimaji war na ngoni migration usenge mtupuu
 
India ukienda kusomea uhasibu unajikuta mpaka unaelewa IT vibaya mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…