Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Kuhusu ulaji hapo umechemka mzee unabeba zege au ndiyo mkulima mana huo ulaji si wakawaida, kingine ulaji wa chips umetapakaa mikoa karibu yote kwa sasa na mwanaume anasifiwa maarifa si ulaji kama unajua kula ovyo halafu hauna maarifa yakutafuta pesa pumzi ya mwanaume mwenzio utaisikia kisogoni mwako na hizo chips kwani si viazi tu tena asili yake wanga na vinapikwa kama mihogo tu? Mwisho acha lifestyle ulozoea ukienda ugenini nyie ndiyo mnataka watu waishi mnavyotaka nyie hata kwenye miliki zao kwakuwa tu nyie mnataka iwe hivyo.
 
Jamaa umewachokoza wazaramo ...ushauri ..usiukimbie huu Uzi...shauri yako
 
Wew wakike au wakiume πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™Œ
 
Sasa Nzee ya Ar chuga,umepanda humu jukwaani baada ya kupiga Jani ngapi mixsa na vishenzi vingineπŸ₯±
 
Umesahau vitu kibao kuhusu Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…