Hakika.Yes it's important to celebrate achievements,not just big ones,
coz it boosts confidence,reinforces positive behaviors and builds a sense of accomplishment,
which can motivate further success.
Ingawa inashangaza lakini hupaswi kushangaa kwa tulipofikia Sasa; watu (hususani kina mama) wanafikiria 'kupali' tu muda wote hivyo wanahitaji kasababu hata kama kana uzito mdogo kama wa sisimizi. Kama inawekwa sherehe kubwa kisa tu Kuna katoto kanatoboa masikio, tutashangaa nini' ikiwekwa kwa kumaliza la saba?!!!!!🤣🤣🤣Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Punguza jazba, elezea kwa nini ni ujingaNi ujinga na hufanywa na watu wajinga hata hizo sherehe sijui ubatizo,kipaimara, arobaini na hizi za shule kuitoa shule kuja kuifanyia nyumbani ni ujinga haijarishi wewe ni tajiri au ni maskini ni ujinga wala siwezi kuhudhuria kwenye ujinga wa namna hii
Mkuu acha asherehekee milestone ya mwanae. Ukipata nafasi ya kufurahi furahia maana mateso ni mengiKusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Kabisa. Watu waache kujifanya wachumiSioni shida kama familia ikifanya sherehe kwa mtoto wao kumaliza darasa la saba kwa sababu sio haramu, haimdhuru mtu. In fact watu wanaenjoy so hamna cha kuchekesha wala sio tatizo hata kidogo kusherehekea mtu kumaliza darasa la saba
Ndio watu wanafanya kipaimara, komunio, birthday 🎈Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Ndo mpaka ukodi mziki mkubwa?kwanini isiwe ya kifamilia tuNdio watu wanafanya kipaimara, komunio, birthday 🎈
Sembuse kwenye darasa la Saba kaka huwezi pangia watu vya kufanya period!!
Mkuu jitahidi kufurahia maisha. Ukifa mali zako zote na mkeo zitaliwa na wajanja na hamna kitu utafanyaNi ujinga na hufanywa na watu wajinga hata hizo sherehe sijui ubatizo,kipaimara, arobaini na hizi za shule kuitoa shule kuja kuifanyia nyumbani ni ujinga haijarishi wewe ni tajiri au ni maskini ni ujinga wala siwezi kuhudhuria kwenye ujinga wa namna hii
Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Issue ni kwenye malezi hao watoto unao wafanyia party za kila aina siku ukiishiwa watajua huwapendi milladayo ameripoti matukio ya watoto kujinyonga na kunytwa sumu kisa hawajafanyiwa sherehe za ubatizo na za kuzaliwa.Mkuu jitahidi kufurahia maisha. Ukifa mali zako zote na mkeo zitaliwa na wajanja na hamna kitu utafanya
Sasa si afadhali huyo wa drs la saba? Haujakutana na grand graduation ya baby class. Mtu anatumia hata milioni kufanya sherehe ya baby class.Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Maisha yao, kukopa wanakopa wao, mtoto wao.Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?