Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

Anaumia kusemwa
KWA HIYO HAITAJI MSAADA WA KIMOJAWAPO AIDHA KUOLEWA AU KUPATA KAZI NIMEONA UNAMKINGA SASA SIJUI KAMA NDIYO UNAMSAIDIA KUONDOKANA NA HAYO MASIMANGO AU WEWE NDIYO MUHUSIKA
 
Hao wanaomshambulia hawana akilia,usizae mtoto then uwe na expectations zako eti asome apate kazi then aolewe nan kakwambia? things aren't working in such a way.

Ukizaa tambua wewe upambanie watoto mpaka nyakati za mwisho hususani hao wa kike..
Mtu ana presha zake bado mnamuongezea presha akiingia hasipopenda unafikiri itakuwaje.
 
KWA HIYO HAITAJI MSAADA WA KIMOJAWAPO AIDHA KUOLEWA AU KUPATA KAZI NIMEONA UNAMKINGA SASA SIJUI KAMA NDIYO UNAMSAIDIA KUONDOKANA NA HAYO MASIMANGO AU WEWE NDIYO MUHUSIKA
Soma mada uelewe. Kama umelewa lala utasoma kesho
 
akae kwa wazazi mpaka atapota bwana huko nje si ataenda kugawa tu
 
😳makubwa!
 

Hao majirani siyo kuwa lengo lao ni kumwona ana sota tu au hata kujipatia fursa za kumla kimaskhara? Kwani wako na uchungu naye gani kuliko wazazi wake wasiokuwa na taabu naye?

Zingatia damu ni nzito kuliko maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…