Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

Hao wanaomshambulia hawana akilia,usizae mtoto then uwe na expectations zako eti asome apate kazi then aolewe nan kakwambia? things aren't working in such a way.

Ukizaa tambua wewe upambanie watoto mpaka nyakati za mwisho hususani hao wa kike..
Mtu ana presha zake bado mnamuongezea presha akiingia hasipopenda unafikiri itakuwaje.
 
KWA HIYO HAITAJI MSAADA WA KIMOJAWAPO AIDHA KUOLEWA AU KUPATA KAZI NIMEONA UNAMKINGA SASA SIJUI KAMA NDIYO UNAMSAIDIA KUONDOKANA NA HAYO MASIMANGO AU WEWE NDIYO MUHUSIKA
Soma mada uelewe. Kama umelewa lala utasoma kesho
 
akae kwa wazazi mpaka atapota bwana huko nje si ataenda kugawa tu
 
Vijana wa kileo hatuko tayari kuowa majangili, majambazi na matapeli wa kike.........huko kanda ya ziwa kumeibuka mtindo mbovu sana mwanamke anakubali kuolewa kwa lengo moja la kwenda kuchuma mali za mume.....yaani anakubali ndoa baada ya mwaka mmoja tu anajigeuza anadai talaka na mwisho wa siku anakomaa wagawane mali alizozikuta pasu kwa pasu ......NYINYI WANAWAKE MKAOLEWE NA BABA ZENU AU KAKA ZENU ..
😳makubwa!
 
Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.

Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasabb mbalimbali.

Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-

1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?

2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?

Kwann nimeleta uzi huu?

Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mm Sexless, kungwi la kitaifa.

Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lkn hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashngazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.

Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.

Hao majirani siyo kuwa lengo lao ni kumwona ana sota tu au hata kujipatia fursa za kumla kimaskhara? Kwani wako na uchungu naye gani kuliko wazazi wake wasiokuwa na taabu naye?

Zingatia damu ni nzito kuliko maji.
 
Back
Top Bottom