Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mmh! Kwann isiwe hata kabla ya kufikiria kubeba ujauzito? Mm nilidhani kuwe na umri tu ukifika mdada aone aibu kuendelea kupishana na babake maliwatoni
Duuh! Hii N.B yako hii inafikirisha Sana. Unafahamu kwamba Kuna mapadre ambao Hawaoi maisha yao yote?Nb: Tendo la ndoa ni hitajila msingi, mtu akilikosa mda mrefu; linaathiri afya ya akili.
Aondoke kwenda wapi kama hana kipato?Hapana. Wanamshambulia kwa kuendelea kukaa nyumbani at the age of 32. Kwann asiondoke nyumbani kwao akajitegemea? Wala siyo kuolewa ama kazi
Nop! I'm not here to sell anyone!
Kimsingi mwanamke ni kuchungwa nyakati zote za maisha yake.....mwanamke hana ukomo wa kukaa nyumbani........ wazazi Wana wajibu wa kumuhudumia mpaka atakapoolewa na kama Hana mume na wazee hawana uwezo basi kaka zao wanawajibika kumuhudumia dada yao mpaka apate mume
Kuoa na Kuolewa ni MAJALIWAKwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwanini nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Ukichunguza sana, utagundua kwa upande wa kisaikolojia kuna tatizo.Duuh! Hii N.B yako hii inafikirisha Sana. Unafahamu kwamba Kuna mapadre ambao Hawaoi maisha yao yote?
Hapa hoja ni umri wa miaka 32 kuendelea kukaa nyumbani. Je, ni sahihi? Na kama si sahihi mtoto wa kike anapaswa kuondoka kwao afikishapo miaka mingapi?Kuoa na Kuolewa ni MAJALIWA
Kama wazazi wake hawana shida, hayo makelele ya nje aachane nayo. Yeye aendelee kupambana na maisha yake. Siku hizi kuolewa ni bahati, Pengine angeolewa angekuwa ameashaachika. Aendelee kusubiri wakati wa Mungu ukifika ataolewa, akishindwa kabisa kuvumulia basi azae tu, Mungu atamkuza mtoto wake.Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwanini nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Kwanini ALAZIMISHWE kuondoka nyumbani kwao kwa sababu ya UMRI? Kama hajaweza kuwa na maisha ya kujitegemea yeye mwenye anaweza kukaa kwao mpaka atakapotwaliwa na Mola.Hapa hoja ni umri wa miaka 32 kuendelea kukaa nyumbani. Je, ni sahihi? Na kama si sahihi mtoto wa kike anapaswa kuondoka kwao afikishapo miaka mingapi?
Sawa hajakutumq umtafutie mchumba. Lakini ni bado hajapata. Utakapo mshauri ni vyema pia umpa ushauri kuwa kuna watu wameonyesha nia ya kutaka kuwa na wewe. Nami pia nimejitokeza.Hapana. Hajanituma nimtafutie mchumba. Mada hii ni ya mimi kungwi kutaka kujielimisha namna nzuri ya kutoa ushauri juu ya umri sahihi wa mtoto wa kike kuondoka nyumbani hata kama hajaolewa.
Duuh! Mkuu ile habari ya mtu kuwa mtu mzima au mzee kwa mwanamke haipo kabisa? Kama ipo ni vipi anatimiza majukumu ya utu uzima ikiwa ni pamoja na kujitegemea?Kwanini ALAZIMISHWE kuondoka nyumbani kwao kwa sababu ya UMRI? Kama hajaweza kuwa na maisha ya kujitegemea yeye mwenye anaweza kukaa kwao mpaka atakapotwaliwa na Mola.
Wewe mkuu tunaenda pamoja kwenye mada hii. Umejikita kwenye madaUkitoka chuo tu hupaswi kukaa kwa wazazi tena uwe kijana wa kike ama kiume.
Daaah🤣😂Nipe namba yake PM nimuoe. Hakuna kuchunguzana tupo nyuma ya muda ni ndoa tu.
Kama wanajisahau wewe unatakiwa kuwaambia au kuwakumbusha kwani ni wajibu wao.......Kaka wa wapi haoo wachache mno wanaohudumia dada zao