Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mmh! Kwann isiwe hata kabla ya kufikiria kubeba ujauzito? Mm nilidhani kuwe na umri tu ukifika mdada aone aibu kuendelea kupishana na babake maliwatoni
Kwa mazingira ya kwetu na uarabuni, mwanamke si mtafutaji bali analetewa; kwa hiyo kuweka umri maalumu kwa mwanamke akajitegemee inakuwa ngumu; ila kiustaarabu, pale mihemko ya mwili itakavyokuwa ikimsumbua sana kuitaji tendo la ndoa, ni busara zaidi akajitegemee ili asiwakere ndugu na jamaa.
Nb: Tendo la ndoa ni hitajila msingi, mtu akilikosa mda mrefu; linaathiri afya ya akili.
Nb: Tendo la ndoa ni hitajila msingi, mtu akilikosa mda mrefu; linaathiri afya ya akili.