Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

Kwa watanzania utakula kila aina ya tusi kwa issue ya ardhi na nyumba! Na huu uzi utaenda kwa kasi sana
 
Unaakili mgando na utakufa masikini.

Maisha ya Marekani na Tz ni mbingu na aridhi hauwezi linganisha ama kuweka ndotoni vikawiana.

Wenzetu kule wanawekewa ruzuku kwenye ujenzi pamoja na kupewa mikopo ya nyumba, je Tz hayo yapo?

Anayejipinda kujenga na akahamia kwenye pagale ni heri mara 1000 kuliko wewe unayeishi pangoni kwa miaka nenda rudi Tz hii.

Unaishi maisha yasiyo na staha na mwisho wako utakuwa ni wa lawama sana kwa watoto zako na mkeo.

Amka na ujivue kwenye hilo blanketi la umasikini lililokugubika kijana.
 
Wewe na ukoo wako wote mmepanga na mmetajirika au umewaacha ndugu zako wanahangaika kununua cement na michanga unakuja jf kuleta upunguani wako hapa?
 
Uje tena na mawazo yako haya ya kipumbavu ukiwa na umri wa miaka 50
 
Ndio umeandika nini yaani binadamu uishi kwenye pagale mpaka kifo useme ni akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…