Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

1.Wakubwa wanasemaga tema mate chini kijana.
2.Usitukane mamba na mto hujavuka,
3. hujafa hujaumbika.
4.Huijui kesho yako.

Hawaelewagi hawa kuwa Mtoaji Mungu na hakuna alopanga yeye kuwa the alivyo.

Mpaka yawakute ndio wanakuja kutambua kuwa Duniani hakuna mwenye jeuri.
 
Hawaelewagi hawa kuwa Mtoaji Mungu na hakuna alopanga yeye kuwa the alivyo.

Mpaka yawakute ndio wanakuja kutambua kuwa Duniani hakuna mwenye jeuri.
Mungu hatoi. Acha uongo kumsingizia mungu hivi mbona mnapenda sana kumsingizia mungu kwenye umasikini wako
 
Kama upo kwenye level ya kupambana watoto wako wasije wakawa waendesha bodaboda basi una safari ndefu sana, I mean kiychumi unahitaji nguvu na pumzi nyingi sana hata ikibidi msaada wa lift ili uweze kumaliza umbali wa meta 50, nina maanisha meta 50.
Endelea kujitafuta
 
Nimeshasema mtoto wangu hawezi kuwa bodaboda full stop wewe endelea na hiyo kazi Yako ya kirofa
 
Ni ukweli mchungu.
Jf vijana wengi kazi yao ni bodaboda (kukimbiza) upepo.
Kabaiskeli chenye injini kanakuwa ajira ya mtu daaahh 😭 😭 😭.
Mungu tuokoe waafrika
 
Mimi sijawahi kupanda Bodaboda.

Bora hata Bajaji kuliko Bodaboda.
Sasa hivi bajaj zinapiga mizinga kuliko hizo boda. Binafsi bajaj hapana, napanda bodaboda voz naweza kumcontrol ila bajaj, tena hizi njia za lami ndio kabisa sipandi.

Kingine, madereva wengi waliokuwa wanaendesha bodaboda wamehamia kwenye bajaj, ule ujinga wao wameenda nao huko.
 
Bodaboda ina hela
Mtu kulaza 30 Kwa siku ni laZima
Hapo Kwa mwezi laki 9
Ni watumishi wachache wa umma wanalipwa laki 9
Bodaboda wanajenga, watoto wanaosoma, wanaendesha familia

Usidharau kazi ya mtu
Bodaboda gani unaowaongelea mzee baba?, mbona tunaishi nao huku mtaani hali zao tunazijua, yani alaze 30k halafu asumbuane na boss kwa hesabu ya 10k.! hivi hizi hesabu mnazozitajaga mshawahi kufanya iyo kazi au mnazitaja tu baada ya kusikia story mtaani.
 
Basi sipandi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…