Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Bodaboda ina hela
Mtu kulaza 30 Kwa siku ni laZima
Hapo Kwa mwezi laki 9
Ni watumishi wachache wa umma wanalipwa laki 9
Bodaboda wanajenga, watoto wanaosoma, wanaendesha familia

Usidharau kazi ya mtu
Acha kujifariji.
Mimi kila siku napanda boda kwenda kazini na kurudi.
Bodaboda wana hali ngumu sana.
Wenye unafuu ni 2/100.
 
Huyu dogo ni wa kumpuuza hata mimi kabla sijanyooshwa na kitaa nilikuwa na dharau kama hizo ....huyo dogo hata miaka 25 naamini hajafiki maana yake hayajui maisha yakoje .....hundred percent huyo dogo anaishi home.

So ni wa kumpuuzia utoto unamsumbua.
 
Basi wewe bila shaka utakuwa ni milionea.
Unauliza swali Gani Hilo sio bila shaka Mimi pesa nina undugu nayo hiki ni koi akiba tu Cha tigo pesa saving ambacho nakutumia wiki Moja tu kimeisha
 

Attachments

  • Screenshot_20240828-214016.jpg
    228.9 KB · Views: 1
Hatari
 
Watu wanakurupuka tu kuongea mkuu
 
W Well ungekua unajua maisha yapoje usingekua masikini boya wewe halafu hiyo michezo yenu ya barabarani Mimi nitakuja kuwamwaga ubongo endeleeni
 
Uki
Hajui kwamba kilo Moja ya chupa za maji zinazotupwagwa mitaani ni 700 hadi 800 kwa siku wengine wanakusanya kama kilo 20 na zaidi

Haya Maisha chunga sanakudharau kazi ya mwenzio
Ukiokota machupa maana yake wewe hazipo mtu mwenye akili timamu unaanzaje kuokota makopo ya wenzio waliokunywa maji
 
Sikia wewe boda mchezo wako wakujiharishia hovyo barabarani Mimi nitakuja kukumwaga ubongo
Wewe utoto unakusumbua sana, usipokuwa makini utalawitiwa halafu mwishowe vipesa vyako vyote uje utumie kununua pampus.
 
Useless
Nonsense
Rubbish
 
Usihitimishe hivi mkuu, kazi ni kazi Ili mradi ni halali na inaingiza kipato
 
Huwa nampakiza mpaka mkeo boya wewe kupata kwako isiwe kejeli kwa wengine, jifunze ustaarabu unaleta nyuzi za kipuuzi sana wee dogo
Tafuta hela masikini wewe ndio maana nagonga sana wake wa bodaboda sababu ni masikini marofa🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…