Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 367
Endelea kuamini hivyo hivyo, wewe ni mwanamke mwenye busara na akili sana, I wish wanawake wote wangekuwa kama wewe, maana hutakuwa na stress na maisha yatakuwa ya furaha na amani kabisa ukiwa na imani ya kiwango hicho. Hongera sanaMume wangu hachepuki.
Lete vielelezo tunavojua ww ni mhangamume wangu hayuko kundi hilo 🙄🙄😛😛😀
Mbona alikuwa anachepuka na shoga yake, na alibisha mpaka waliporusha picha zao..... hana cha ufbi wala ucia.... Tz ukitaka habari zozote unapata tuu, kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu...madaktari wao, lawyers wao, wanasiasa wao....na ndio hao ambao humtumia huyo mange hizo habariKwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!
Pamoja na sound mwishowe akawa x-wife kwako!! Ilikuwaje tena mzee wa sound!?Mimi ex waifu alishanifumania kabisa laivu kitandani mwetu nilimpiga saundi had akakubali alikuwa anaota ni illusion. Hadi Leo anadhani hivyo. Mwanaume uwez kubali mambo ngeseki ngeseki lazima Uwe mbishi
Kwa vile unaenda naye kila mahali, au nzakali anaiacha home! Good. Mimi niliwahi fanya kazi hotelini na ndipo niligundua jinsia zote wanachepukaMume wangu hachepuki.
Siku zote mganga hajigangiKwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!
Hata Ibrahim baba wa imani alichepuka kwa housegirlwapo wanaume ambao wanajiheshimu hawafanyi upuuz w kuchepuka
Unaweza kuta lilikuwa jasusi la CIA lilipogundua kuna minuso minuso kutoka kwa huyu jangil jangil akaamua kujitoaDaaah, ila jamaa inaelekea katika uchepukaji wake akiwa na huyu binti alipata shida sn aisee..!!
Kwa hiyo Mange anafaa kuwa first lady. TOBA! Mugabe asisikie. Labda ndicho kitakachomfanya agairi kugombea uraisMwanaume atakayeweza kuishi na mange! Labda mugabe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata ukikamatwa red handed lawama zote mtupie shetani.
Miye peke yangu!Hakuna mwanaume asiyechepuka
kuna wakati unakua kwenye ndoa au mahusiano na mwanamke ambae hata ukitaka kumtendea ubaya wowote nafsi inakusuta sababu ya upendo wake, kujitoa kwake na tabia nzuri zake. ukiona nafsi kwa mwanaume inakupeleka hivo ni ngumu sana kuchepuka maana unakua huna amani kabisa mda mwingine mtu anakosa hadi raha kabisa. so inategemeana sio wote japo ni wachache.true,kama yupo nina uwalakini na uanaume wake 😵😳😱
HahahaaKwa hiyo Mange anafaa kuwa first lady. TOBA! Mugabe asisikie. Labda ndicho kitakachomfanya agairi kugombea urais