Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Tatizo lako hujui hata unacho simamia nilisha kwambia mara kadhaa ikiwa huamini uwepo wa Mungu sio tatizo langu, kwa nini kuamini kwangu liwe tatizo lako?Kwa nini Mungu awe positive energy na positive energy isiwe positive energy tu?
Au umeamua tu kuipa jina na cheo cha Mungu positive energy?
Kwa nini hiyo habari ya "Mungu ni positive energy" isiwe hadithi tu za kutungwa na watu?
Unaweza kuthibitisha Mungu ni positive energy au unakuwa motivational speaker anayesema bila facts?
Whether ni hadithi za kutungwa nitashukuru sana ukileta ushahidi usiotia shaka.... kuliko assumption zako za kila siku
... ambazo ni za kufikirika... ukishindwa kuthibitisha utungwaji wa hizo hadithi heshimu imani yangu.
Ujinga wa watu aina yako wanaamini wanachowaza lakini hawaji na uthibitisho wa dhahania zao...
Maisha ya wote waliongelewa kwenye bible na matendo waliyofanya ni uthibitisho tosha kwangu kwa uwepo wa Mungu wangu.