Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Ni kweli hakuna kiumbe kinacho itwa Mungu, bali vipo viumbe ambavyo Mungu ameviumbaHakunaga kiumbe kinachoitwa mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hakuna kiumbe kinacho itwa Mungu, bali vipo viumbe ambavyo Mungu ameviumbaHakunaga kiumbe kinachoitwa mungu
Kwanini?Mungu hayupo mkuu.
Hizo habari za Mungu kuwapo ni stories walizotunga watu waliokuwa wanapambana na hali zao tu.
Mungu angekuwapo hata huu mjadala kama Mungu yupo au haupo usingewezakana kuwepo.
Bado inatia mashaka maangamizi yanafanyika huku Mungu akiona na kucheka.Kwenye Biblia ukisoma Agano Jipya na Agano la Kale kuna maangamizi ya kufa MTU kwa HIO sio Jambo Jipya hata KIDOGO
Watu wakiacha mihemko watakujibu Maswali yako.Ujue siwaelewi.
Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake.
Angalia wafuasi wake pale Palestine wapo tayari kwa nguvu zao kulinda ule msikiti usitwaliwe na waisrael lakini Mungu wao mpaka sasa kashindwa kabisa kuwalinda wao dhidi ya makombora ya waisrael.
Hivi umewahi kuona video za watoto wa kipalestine wanao kufa kila siku tuchukulie mfano video za juzi juzi tu hapa ambazo kambi ya wakimbizi imeripuliwa huko Rafah na watoto wa kipalestine wamechomwa moto inasikitisha sana lakini huyo Mungu wao ambao wao wapalestine mpaka huwa wanapigana na askari wa waisrael kuhusu msikiti wa Al Aqsa wanapo zuiliwa kusali na wapo tayari kuulinda huo msikiti dhidi ya Israel lakini huyo Mungu hata kuwalinda wao dhidi ya uharamia wa Israel kashindwa kabisa.
Zile sifa kede kede mnazompa kwenye Quran ni hadithi tu za kijifurahisha za uongo ? Au huyo Mungu kafa ? Hayupo ? Au amewachoka hataki kuwasikiliza wafuasi wake ?
Tuje hapo Sudan, tuende somalia hali ni ile ile ni kushindwa kwa huyo Mungu anaye abuduiwa na kupewa sifa kede kede mara oooh ni muweza wa yote mpaka sasa kuwalinda watu wake dhidi ya uharamia kashindwa kabisa.
Sasa huyo Mungu kazi yake nini ? Kama tu zile zinazo elezewa kwenye hivyo vitabu mpaka leo hakuna anacho thibitisha kama anaweza kufanya au kuna mahali naye kajificha kazidiwa nguvu na watu wa duniani wa sasa tofauti na hao wa kale ambapo aliweza ?
Hawa wayahudi nao Mungu wao anapewa rundo la sifa mara ooh Samson pekee aliua wafilisti kwa uwezo wa Mungu, mara oooh Mussa alipasua bahari kwa uwezo wa Mungu sifa nyingi lakini huyo Mungu alishindwa kabisa kuwaokoa dhidi ya uharamia wa Hitler mpaka unajiuliza wakati Hitler anafanya anayo yafanya huyo Mungu alikuwa amelala miaka yote ?
Leo hii wanajilinda kwa mamifumo ya ulinzi ya kutisha na makombora ya kutisha sioni yule Mungu wao akiwalinda kwa miujiza yake kama anavyopewa sifa kwenye vitabu vyao.
Juzi tu hapo walipigwa ambush na Hamas huyo Mungu wao kuwalinda alikuwa wapi ?
Tuje Congo hawa wakatoliki wa Congo nao wanachinjana na kuchinjwa kila siku, wacongo huwezi waambia kitu kuhusu Mungu wao kupitia katoliki lakini mpaka leo wanategemea askari toka Tanzania waende wakawalinde kwa nini huyo Mungu wao asioneshe miujiza yake sasa ? Anasubiri nini na lini ?
Huko Ukraine wale wa orthodox nao Mungu wao kashindwa kuwalinda kabisa hata kuwapatanisha na wa orthodox wenzao warusi hakuna muujiza wowote alio fanya zaidi tu ya waukraine kuendelea kufa kila siku na kufanyiwa uharamia na Warusi.
Tunaambiwa huyo Mungu kupitia jiwe tu Daudi alimuua Goliath lakini leo hii mawe yameshindwa kuwalinda wapalestine kuzuia vifaru vya waisrael vinavyo waangamiza na kupora maeneo yao kila siku.
"Mungu wa upendo na huruma" inafikirisha sana.
HUYO MUNGU TUNAEAMBIWA WA HURUMA NA UPENDO YUPO WAPI ?
MBONA KIMYA WAFUASI WAKE WANAZIDI KUANGAMIZWA KILA SIKU AU MIUJIZA IMEISHA ?
Kumbuka mungu katika biblia anaitwa amiri jeshi kuu na ni mungu wa vita na mungu anapenda vita kuliko kitu chochote wanachofanya israel zidi ya makafiri watu wasiomjua yesu wapo sawa mungu ni wavita naam..Ujue siwaelewi.

Kuna mbaya ambayo hayasababishwi na watu,Amekupa uhuru wa kuchangua, kufanya na kuamua lolote unalo taka.
Yeye yupo, anatizama na ukikwama ni mwepesi wa kukusaidia endapo utaomba msaada wake.
For GREAT THINKERS ONLYHakurupuki kama mimi sawa.
Kwa hiyo anatoa kafara watoto anao waumba kila siku kwa faida ya nini sasa ?
Inafikirisha ukifikiri kwa wenye akiki kitamuWatu wakiacha mihemko watakujibu Maswali yako.
Kwamba mtu mfiraji. Mtesaji, muuaji na mwizi wa mali za umma anaiba kila siku na kufunga watu kwa kubambikia kesi.
Atakuja kusamehewa huku Mwizi wa Kuku wa jirani ataungua moto. Mtu mwovu anazidi kupanda vyeo na kutajirika kuliko Maskini Mwongofu?
Mungu mweza wa yote huku Njaa, vifo, maradhi na mauwaji vimetamalaki?
Mungu ni Neno, anashindwa kutamka neno Moja tu ili.
uharibifu duniani ukome? Au anafurahia tunayopitia? Kwa nini asiyazuia na kutoipa nafasi kabisa Dhambi? Kwani haiwezekani?
Au anafurahi tukiingia dhambini ili aje atuchome moto?
Hizo "sifa kede kede" unazosema zipo kwenye Qur'an, zipo wapi? Nukuu.Ujue siwaelewi.
Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake.
Angalia wafuasi wake pale Palestine wapo tayari kwa nguvu zao kulinda ule msikiti usitwaliwe na waisrael lakini Mungu wao mpaka sasa kashindwa kabisa kuwalinda wao dhidi ya makombora ya waisrael.
Hivi umewahi kuona video za watoto wa kipalestine wanao kufa kila siku tuchukulie mfano video za juzi juzi tu hapa ambazo kambi ya wakimbizi imeripuliwa huko Rafah na watoto wa kipalestine wamechomwa moto inasikitisha sana lakini huyo Mungu wao ambao wao wapalestine mpaka huwa wanapigana na askari wa waisrael kuhusu msikiti wa Al Aqsa wanapo zuiliwa kusali na wapo tayari kuulinda huo msikiti dhidi ya Israel lakini huyo Mungu hata kuwalinda wao dhidi ya uharamia wa Israel kashindwa kabisa.
Zile sifa kede kede mnazompa kwenye Quran ni hadithi tu za kijifurahisha za uongo ? Au huyo Mungu kafa ? Hayupo ? Au amewachoka hataki kuwasikiliza wafuasi wake ?
Tuje hapo Sudan, tuende somalia hali ni ile ile ni kushindwa kwa huyo Mungu anaye abuduiwa na kupewa sifa kede kede mara oooh ni muweza wa yote mpaka sasa kuwalinda watu wake dhidi ya uharamia kashindwa kabisa.
Sasa huyo Mungu kazi yake nini ? Kama tu zile zinazo elezewa kwenye hivyo vitabu mpaka leo hakuna anacho thibitisha kama anaweza kufanya au kuna mahali naye kajificha kazidiwa nguvu na watu wa duniani wa sasa tofauti na hao wa kale ambapo aliweza ?
Hawa wayahudi nao Mungu wao anapewa rundo la sifa mara ooh Samson pekee aliua wafilisti kwa uwezo wa Mungu, mara oooh Mussa alipasua bahari kwa uwezo wa Mungu sifa nyingi lakini huyo Mungu alishindwa kabisa kuwaokoa dhidi ya uharamia wa Hitler mpaka unajiuliza wakati Hitler anafanya anayo yafanya huyo Mungu alikuwa amelala miaka yote ?
Leo hii wanajilinda kwa mamifumo ya ulinzi ya kutisha na makombora ya kutisha sioni yule Mungu wao akiwalinda kwa miujiza yake kama anavyopewa sifa kwenye vitabu vyao.
Juzi tu hapo walipigwa ambush na Hamas huyo Mungu wao kuwalinda alikuwa wapi ?
Tuje Congo hawa wakatoliki wa Congo nao wanachinjana na kuchinjwa kila siku, wacongo huwezi waambia kitu kuhusu Mungu wao kupitia katoliki lakini mpaka leo wanategemea askari toka Tanzania waende wakawalinde kwa nini huyo Mungu wao asioneshe miujiza yake sasa ? Anasubiri nini na lini ?
Huko Ukraine wale wa orthodox nao Mungu wao kashindwa kuwalinda kabisa hata kuwapatanisha na wa orthodox wenzao warusi hakuna muujiza wowote alio fanya zaidi tu ya waukraine kuendelea kufa kila siku na kufanyiwa uharamia na Warusi.
Tunaambiwa huyo Mungu kupitia jiwe tu Daudi alimuua Goliath lakini leo hii mawe yameshindwa kuwalinda wapalestine kuzuia vifaru vya waisrael vinavyo waangamiza na kupora maeneo yao kila siku.
"Mungu wa upendo na huruma" inafikirisha sana.
HUYO MUNGU TUNAEAMBIWA WA HURUMA NA UPENDO YUPO WAPI ?
MBONA KIMYA WAFUASI WAKE WANAZIDI KUANGAMIZWA KILA SIKU AU MIUJIZA IMEISHA ?
Matetemeko na vimbunga vikali, hizo zote ni ishara za uwepo wake, ishara za nguvu alizonazo. Pia Mungu anaweza kutumia matetemeko kama njia ya kutoa adhabu au kuonyesha kwamba anachukizwa na mabaya wafanyayo binadamuKuna mbaya ambayo hayasababishwi na watu,
Mabaya kama matetemeko na mafuriko hayasababishwi na watu,
Inawezekana vipi Mungu huyu na sifa zake zote hizo zisimuliwavyo akaumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya!?
Kumbe hukumu ni hapa hapa duniani siyo!Matetemeko na vimbunga vikali, hizo zote ni ishara za uwepo wake, ishara za nguvu alizonazo. Pia Mungu anaweza kutumia matetemeko kama njia ya kutoa adhabu au kuonyesha kwamba anachukizwa na mabaya wafanyayo binadamu
Malipo ni hapa, mbinguni ni mahesabu tuKumbe hukumu ni hapa hapa duniani siyo!
Tuna mpataje ili tumuulize?Sasa hapo itabidi aulizwe yeye mwenyewe na sio mimi, sijui maono yake na siwezi kuyafikia.
Sijui, hajafundisha au kueleza ni namna gani tunaweza kumpata.Tuna mpataje ili tumuulize?
Tuandamane tukawasilishe KERO zetu kupitia Ubalozi wake.Tuna mpataje ili tumuulize?
Yeah. Safi mkuu; na Ieleweke kwamba kutokuamini au kuamini uwepo wake Mungu, hakumpunguzii chochote, Hakumuongezei chochote na wala hakumnufaishi kwa namna yeyote ile. i.e. YEYE yupo bila wewe kuwepo.