Hivi Mungu wenu bado yupo au amekufa? Au zile zilikuwa hadithi tu za vitabuni?

Hivi Mungu wenu bado yupo au amekufa? Au zile zilikuwa hadithi tu za vitabuni?

Jameni tufanyeni kazi na tujikite katika tafiti mbalimbali... Hakuna miujiza kwenye dunia hii.. Amin nimewaibia siri
 
Hata firauni aliua sana lakini wakati wa Mungu ulipofika hakutoboa kabisa aliangamia na utawala wake. Mungu anafanya kazi zake kwa Wakati hakurupuki kama wewe. Sifa ya binadamu ni pupa Allah ameshakadiria kila kitu na idadi ya watakao poteza usiwe na haraka ndugu yangu
🤣 🤣 🤣

Nani alikwambia Firauni alishughulikiwa na Allah
 
Huwezi kumpangia Mungu ratiba yake

Wakati wake bado

Maisha ya hapa duniani ni kama movie, sasa hivi kubwa la maadui Shetani anatamba ndio maana unaona mambo ya hovyo mengi sio vita tu hata maadili

Movie inapoelekea mwishoni wakati wa Mungu wa kumuua kubwa la maadui utafika na hapo ndiyo itakuwa mwisho wa yote uliyosema
Kwa Nini Mungu alimuumba Shetani wakati hapendi maovu?
 
Kwa kweli binafsi kifo cha Hayati JPM kiliniacha na maswali ambayo itachukua muda mrefu kupata majibu!
 
Back
Top Bottom