Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

Duh
 
Bila picha ya dollar?
 
Waroma 1:19 kwa sababu mambo yanayoweza kujulikana kuhusu Mungu yako wazi kabisa kati yao, kwa maana Mungu aliyaweka wazi kwao. 20 Kwa maana sifa zake zisizoonekana, zinaonekana waziwazi tangu kuumbwa kwa ulimwengu na kuendelea, kwa sababu zinaeleweka kupitia vitu vilivyoumbwa, yaani, nguvu zake za milele na Uungu, hivi kwamba hawana sababu ya kujitetea
 
Sidhani
 
Hii "- ni kweli wanaume wanapata utulivu kutoka kwa wake zao" sikubaliani nayo kabisa kabisa. Walau ingekuwa inasomeka kwamba "-Wanaume wameumbiwa kupata kadhia na madhila mengi kutoka kwa wake zao" ningekubali (sio nia yangu hapa kuanzisha uzi)
 
Kwani Dollar ya kimarekani sio project ya kibinadamu?

Dini zikitangaza habari za Mungu uko tayari kuzipinga kusema ni za uongo kwasbabu ni project za kibinadamu

Lakini ukiona maandishi ya "In God we trust" kwenye Dollar ya kimarekani unayachukulia kwa uzito bila kuzingatia nayo ni sehemu ya project za binadamu.

Vipi kama walioandika hayo maandishi kwenye Dollar waliyatoa kwenye vyanzo vya dini ambazo hauko tayari kuzikubali?

Huoni kwamba kwa mujibu wako hiyo itaaminisha kuwa Mungu hayupo kwasbabu vyanzo vyote vilivyotaja habari zake ni project za watu?
 
Hii "- ni kweli wanaume wanapata utulivu kutoka kwa wake zao" sikubaliani nayo kabisa kabisa. Walau ingekuwa inasomeka kwamba "-Wanaume wameumbiwa kupata kadhia na madhila mengi kutoka kwa wake zao" ningekubali (sio nia yangu hapa kuanzisha uzi)
Kabisa
 
Uzuri haulazimishwi yaani unatoa kwa hiyari..., tatizo ni wale wanaongaganiza michango na harambee..., kwa hao sio poa au wengine vitisho vya kutokuzikwa au kupewa huduma
 
Ogopa hiyo kauli,Tajiri wa Titanic alisema meli yake haitazamishwa hata na Mungu, safari ya kwanza ikazama.

Fikiria shahawa zinakua mtu, mbegu inaota, unavuta hewa free.
Umeishi wapi siku zote hizo mpaka uje leo kuuliza kuhusu uwepo wa Mungu? uko serious kweli? Kahoji mambo mambo mengine usiendelee kuhoji mambo yaliyokuzidi kimo. Kasema vitabu vitakatifu. Tafuteni shughuli za kufanya muepuke kuhoji vitu vya ajabu ajabu. Ungekuwa unajishighulisha usingepata muda wa kuhoji mambo km haya
 
......alimwambia Musa kuwa hakuna mwanadamu anaweza kumuona akaishi......
Kwa mantiki hiyo, mtu atakapokoma kuwa mwanadamu (akishakufa) i.e akawa ni Roho, hapo ndipo atamwona Mungu. Nimefurahi sana kwa kauli hii.
Mkuu, sioni kama baada ya kifo kuna existence maana muhubiri 9:5,6,10 inasema wafu hawajui lolote..sasa watamuonaje ilhali hawajui kitu!
 
Nyie waslam mnazingua asee nyie Mungu wenu mnaemwita Allah anawapanga sana asee,kuna vitu mkiulizwa huwa hamjibu kwasabb Muhammad aliwaacha bila maelezo
 
Mkuu elliclassic sina evdence ya mkoNOni kuwa MUSA alikuwepo lakin meng yanaonyesha kuwa bible iko accurate,na sio fictious mfano kuinuka na kuanguka kwa empire mbalimbal kama roman, greek, medo-persian etc zingatia haya yalikuwa tayar yameandikwa ndpo yalitokea, , pia ayubu 26:7 inasema dunia ipo suspend pacpo na k2 wakat watu waliamni dunia iko suspended na mgongo ya tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…