NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
Kamba za hadithi tu hizo. Musa hakuwa muislam.Shukran kwa Darsa lenye usaqa wa vitabu na mitume wa Mwenyeezi Mungu...
Sawa kweli wee noti guy.... Siye tumeridhika na tumeAmini na tumeSadiki Vitabu vyote na mitume wote na Qibla yetu na Allah mmoja..Kamba za hadithi tu hizo. Musa hakuwa muislam.
Na hao wengine wote walikuja kiwa wayahudi. Yesu mwenyewe alikuwa mnmyahudi. Sema mashekh wanawadandanya huku hawana proof
Hapana ila mke wake alikuwa mweusi.Musa alikua mnigga, kabila lake mnyiramba wa sherui mkoani singida.
Musa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.
Bali?Hakua Arab wala Jews!
Huo Upumbavu wako acha kuaminisha wengineYesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Hahahaaa! Uongo haujawahi kudumu. Yaani jamaa alishadanganywa mpaka akapata frustration.wanakupotezea muda.. waulize Musa alizaliwa kipindi gani na uislamu umeanza lini? ni kama mashariki na kusini.. usipoteze muda wako kubishana na wanywa kahawa na stori zao.
Kati ya uislam na Musa kipi kilianza?Mussa alikuwa ni muislam,, na amezungumzwa kwenye qurain,, na hata kitabu alichopewa na MUNGU torati pia Kimezungumzwa kwenye qurain,, TORATI ya MUSSA,, ZABURI ya DAUD,, INJILI ya ISSA,, (YESU) FURQAIN ya MUHAMMAD (SAW) hivyo ndivyo ilivyozungumzwa,,, na MUSSA alikuwa ni MYAHUDI hakuwa MUARABU,,,
Kweli wewe ni mjinga.Ni dini.ndo maana Musa alipowaletea dini ya uislam.walikuwa wanagoma
Za kuambiwa changanya na zako.Musa alikuwa myahudi kabila sio myahudi dini ,imani yake ilikuwa ya kiislam.
Mwebrania wa kabila la Lawi. Hivyo Myahudi kwa Imani na Mwisraeli kitaifa.Yaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Ni mjukuu wa Mwarabu Aitwae Ibrahim Isaac Kisha Yakobo (Israel)baba yake musa ni katika Lawi Sio Katika YudaYaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Juzikutwa.Na ukristo umeanza lini?
Huo ulimwengu umekomboka au unaimba ulichosikiaYesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Changanya na zako. Ndo kiki zenu siku hizi? Kwa hiyo wakati Ukristo unaanza wenyewe ulikuwa wapi?Uislamu ulikuwa toka ,Adam,ndio maana waislamu wannamini Mitume kuanzia Adam ,mpaka Yesu.Mtime Muhammad sio mwanzilishi wa uislamu,yeye ni muenelezaji wa uislamu,uliokuwako,na akausakbaza dunia nzima.
Swali lolote nitakalo kuuliza itakuwa nimekufuru, endelea Kuamini ulichoaminishwaYesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Chaka hilo unatupeleka na sisi kama ulivyopelekwa wewe.Uislamu umeanza toka Adam,kabla hata Musa, hajazaliwa,ndio ukaona waislamu wanaamini kitume yote, kuanzia Adam mpaka Yesu, na vitabu vyote, kuanzia Zaburi,Taurati,Injili ,na Taurati ni kitabu cha Musa, bila kuiamini Taurat na Musa, uislamu haujakamilika wa anayeamini.
Umetumia kinywaji gani?Mussa a.s alikua Muisrael ila si Myahud bali Muislam "kwani Uislam, Ukristo, Uyahud/Zionism" zote hapatikani Kanda hiyo
is 100% truth. Ni afadhali uuamini na uchukue hatua kuliko kushikilia kejeli ulizorithishwa na waamini mashetani na majini mwisho ukutane na Yesu mbele ya hukumu. Maana imeandikwa, mbele ya yesu Kila goti litapigwa. Shauri lakoHuo Upumbavu wako acha kuaminisha wengine