ulimi waupanga
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 493
- 1,223
Hili swali nimelipenda mkuu, kuna watu wanajifanya mazuzu.Kwa hiyo hata Nyerere alikuwa mwanachama wa ACT Wazalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali nimelipenda mkuu, kuna watu wanajifanya mazuzu.Kwa hiyo hata Nyerere alikuwa mwanachama wa ACT Wazalendo
Sawa ndugu yangu, maana mwisho kasema hana dini yeyote.Ndugu yangu Nakusihi na kuihusia Nafsi Yangu ebu achana kujibizana na hao watu Tafadhali. Unaona mpaka wanamdhiaki Mtume Muhammad ww bado unaendelea nao. Hebu achana nao Tafadhali.
Ata uwaambie vip hawato elewa maana hawapo katika kujifunza bali katika ubishi na Maudhi.
....ila Injil ya Yesu imeshindikana kuwa katika lugha ya eramic.Kuna vitabu na maandishi ya zamani kuliko hata Qur'an na Biblia kama Book of the dead cha ancient Egypt.
Epic of Gilgamesh cha ancient Sumerian .Na vipo katika lugha yake je navyo ni vitakatifu?
Vizuri ndugu yangu. We muache siku akifa katika hali hiyo ndio ataelewa nn umuhimu wa Uislamu.Sawa ndugu yangu, maana mwisho kasema hana dini yeyote.
Swali ni kwambaMpumbavu ni wewe ambaye hata ukilielimishwa huelimiki.Nilishakuelimisha kwa kukupa sababu za kuonyesha yesu wa biblia na Issa wa Qur'an ni tofauti.Hujaelewa na kama umeelewa hutaki kuelimika basi wewe ni mpumbavu.
Mimi ukinipa sababu zenye mashiko zinazoonyesha Kwamba ni mtu mmoja.Nitakubali na nitaelimika hivyo sitakuwa mpumbavu.
Unanikadhania kusoma hata nisome vipi Issa wa Qur'an na Yesu wa Biblia ni tofauti.Na sababu nilishakupa ukashindwa kuzijibu,Ukabaki kulazimisha kudhihirisha upumbavu wako.
Usiniambie nisome nilishasoma sana Biblia na Qur'an.nikaona ni watu tofauti.Labda unipe wewe sababu nisizozijua.
Nipe sababu zenye ulinganisho wa Quran na Bible kama nilizokupa.Ukishindwa kubaliana na mimi ni tofauti.Ukiendelea kung'ang'ania basi wewe ni mpumbavu.
Nipe sababu kwa nini unadai ni mtu mmoja?
Sawa mkuu endelea kuamini hivyoSwali ni kwamba
Kama mnasema yessu alikuwa ni muislam
Iweje wanafunzi wake wote ni wakristo
Jibu ni kuwa uislam haukuepo kabla ya Muhammad, ila mnalazimisha kuwepo kwa kuchukua manabii na stori za kwenye biblia kuzigeuza ziwe zenu
....katika Qur'an kuna sura (chapter) ya babu yake Yesu inaitwa al Imran (jina la babu yake Yesu) na kuna sura (chapter 19) ya mamake Yesu al Maryam.Swali ni kwamba
Kama mnasema yessu alikuwa ni muislam
Iweje wanafunzi wake wote ni wakristo
Jibu ni kuwa uislam haukuepo kabla ya Muhammad, ila mnalazimisha kuwepo kwa kuchukua manabii na stori za kwenye biblia kuzigeuza ziwe zenu
umekosea uzi kaka.Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Acha uongo. Bas kuran ingeletwa na adamNdivyo ulivyofundishwa sunday school !?
Muislaam wa kwanza ni Adam na wapili Hawa. Kwa mujibu wa Qur'an, na si kwa mafundisho ya sunday school.
Engeneer hakariri ndo maana huderive kanuni kuendana na tatizo husika japo yote yanaweza kua kwenye the same case. Na sheria pia hufanyiwa marekebisho ili kukizi mahitaji ya jamii kwa wakati husika.Sasa kama mtu hujui hata maana ya 'kukariri' halafu unajiona unajuua !
Kwa taarifa yako hata wanasheria wana kariri na mainjinia pia wana kariri ndo maana kuna formula.
...hao ndio aliowaneemesha Mwenyezi Mungu miongoni mwa Manabii katika uzao wa Adam, na katika uzao wa wale tuliowapandisha pamoja na Nuhu, na katika uzao wa Ibrahim pamoja na Israel, na katika wale tulio waongowa na tukawateua. Wanaposomewa aya za Mwingi wa Rehema huanguka na kusujudu na kulia.Acha uongo. Bas kuran ingeletwa na adam
Kama Engineer hakariri, mbona nondo haziwi nje na zege ikawa ndani !?Engeneer hakariri ndo maana huderive kanuni kuendana na tatizo husika japo yote yanaweza kua kwenye the same case. Na sheria pia hufanyiwa marekebisho ili kukizi mahitaji ya jamii kwa wakati husika.
Vitabu vya Mungu hakupewa kila.Mtume au Nabii.Acha uongo. Bas kuran ingeletwa na adam
Quran imeandikwa na mtu moja....katika Qur'an kuna sura (chapter) ya babu yake Yesu inaitwa al Imran (jina la babu yake Yesu) na kuna sura (chapter 19) ya mamake Yesu al Maryam.
Kuna mjombake Yesu anazungumziwa humo Yah'ya (Yohana Mbatizaji) anazungumziwa humo pamoja na na Nabii Zakaria (babu yake mkubwa Yesu ambaye alimlea Maryam)
Hawa wote ni Waislaam.
Yesu alikuwa anafundisha Uislaam, na wanafunzi wake ni Waislaam.
Ukiristo kafundisha Paulo na kina Luka, Marko, Tito, (wote si wanafunzi wa Yesu) KweliKwanza
Umeeleza vema mkuuImani hizi ni shida sana mtu akishaamini inahitajika rehema ya Mungu Kumtoa katika imani hiyo ni vigumu sana kuwaambia Musa sio muislam wakakuelewa kwa kuwa wamefundishwa hivyo na pia imeandikwa katika vitabu vyao na wanaviamini.
Lakini pia ni vigumu kwa mkristo kukubali kuwa Musa ni mwislam kwasababu wamefundishwa kuwa Musa ni myahudi na imeandikwa hivyo katika Biblia.
Lakini tukitumia fact za sasa hivi tunaweza kupata majibu. Ipo dini ya kiyahudi, dini ya kikristo, dini ya kiislam. n.k. swali limeuliza je Musa dini yake ni ipi kati ya uyahudi na uislam. Kwa wakristo hawana shida wanakubali Musa dini yake ilikuwa ni ya kiyahudi.
Dini zote hizi mbili zilizopo katika hoja yaani Islam na uyahudi bado zipo. Tujiulize je zipo sawa kwa maana ya itikadi zao? Jibu ni hapana. Waislam wanaabudu ijumaa wayahudi, wanaabudu jumamosi. Kibla ya waislam ipo tofauti na kibla ya wayahudi, waislam ipo Maka wayahudi wanaelekea lilipokuwa hekalu la pili la Suleiman, I stand to be corrected.
Musa ndiye aliyepewa amri kumi za Mungu katika mlima sinai kwa ajili ya wanaisrael moja ya amri hizo ambayo ndiyo nguzo yao, ikumbuke siku ya Bwana Mungu wako uitakase, maana yake Jumamosi usifanye chochote ni kuabudu tu kuelekea Jerusalem. Sasa mbona waislam wanaabudu ijumaa na wanaelekea Maka?
Kwahiyo Mimi ninasema Musa ni myahudi na sio mwislam kutokana na tofauti kuu zilizopo baina ya dini hizo mbili.
Soma hiiSawa mkuu endelea kuamini hivyo
Imani hizi ni shida sana mtu akishaamini inahitajika rehema ya Mungu Kumtoa katika imani hiyo ni vigumu sana kuwaambia Musa sio muislam wakakuelewa kwa kuwa wamefundishwa hivyo na pia imeandikwa katika vitabu vyao na wanaviamini.
Lakini pia ni vigumu kwa mkristo kukubali kuwa Musa ni mwislam kwasababu wamefundishwa kuwa Musa ni myahudi na imeandikwa hivyo katika Biblia.
Lakini tukitumia fact za sasa hivi tunaweza kupata majibu. Ipo dini ya kiyahudi, dini ya kikristo, dini ya kiislam. n.k. swali limeuliza je Musa dini yake ni ipi kati ya uyahudi na uislam. Kwa wakristo hawana shida wanakubali Musa dini yake ilikuwa ni ya kiyahudi.
Dini zote hizi mbili zilizopo katika hoja yaani Islam na uyahudi bado zipo. Tujiulize je zipo sawa kwa maana ya itikadi zao? Jibu ni hapana. Waislam wanaabudu ijumaa wayahudi, wanaabudu jumamosi. Kibla ya waislam ipo tofauti na kibla ya wayahudi, waislam ipo Maka wayahudi wanaelekea lilipokuwa hekalu la pili la Suleiman, I stand to be corrected.
Musa ndiye aliyepewa amri kumi za Mungu katika mlima sinai kwa ajili ya wanaisrael moja ya amri hizo ambayo ndiyo nguzo yao, ikumbuke siku ya Bwana Mungu wako uitakase, maana yake Jumamosi usifanye chochote ni kuabudu tu kuelekea Jerusalem. Sasa mbona waislam wanaabudu ijumaa na wanaelekea Maka?
Kwahiyo Mimi ninasema Musa ni myahudi na sio mwislam kutokana na tofauti kuu zilizopo baina ya dini hizo mbili.
Ndugu wacha porojo, usilizungumzie jambo usilo na ujuzi nalo, ni dhambi na aibu.Quran imeandikwa na mtu moja
Bibria imeandikwa na mitume wakubwa wengi unaowajua
Biblia inaendana na historia kabisa ndo maana kila ki2 ukikifatilia cha kwenye biblia unakipata
Lkn kwa upande wa quran hamna
Ata sodoma na gomora aipo kwenye quran
Af ni kutumia logic tu.
Mitume wote mnaowaongelea walikuwa wayaudi
Kwann wayaudi si waislam????. Jiulize hilo
Af uislam umeanza 7th century