Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

Afadhali umemjibu mkuu..katiba inasema mtu yeyote ataishi atakavyo ila tu asivunje katiba au kuatarisha usalama wa nchi..kwenye ndoa haulazimishwi ila tu usizini ovyo ukaaribu usalama wa jamii yako
Naona wavulana mnafarijiana. Yaani watoto wa kiume aina yako na huyo mwenzako mkifika kijijini kwetu huwa tunawajumuisha katika kundi maalum la watoto (kids special group) linalohitaji kusimamiwa na kuongozwa katika kila kitu.

Kijana ambaye hawezi kukisimamia hata kichwa kimoja cha mwanamke anakuaje na sifa ya kuitwa mwanaume? Ana tofauti gani na mtoto mdogo sasa?
 
Japokuwa ndoa huwa ina changamoto nyingi ila lazima ukubali ni Mpango wa MUNGU!, Mungu aliagiza hilo na ni lazima lifuatwe,Mtu mpagani asiye na dini ndio anaweza kuuliza swali tata kama lako na kupoteza muda Kwa swali hili
 
Ndoa inaleta heshima, furaha, malezi mazuri ya watoto, uhakika wa papuchi, usaidizi katika maendeleo nk

NB
Hayo yote Kwa sasa yanakosekana Kwa asilimia kubwa na ndio maana watu wanaona ndoa hazina maana na ndio sababu hadi imekimufanya uulize Hilo swali
Hapo kwenye papuchi itafikia hatua unaikinai at least uwe na wake wawili
 
So unataka kusema mbowe hana heshima sawa na mimi hapa, yeye ana pesa , kiongozi mkubwa, mimi nin ndoa tu ila maisha magumu
Mbowe ana ndoa ..ebu acheni kupotosha..tena alioa enzi hizo..Na ana watoto wakubwa

Mbowe kaoa mtoto Wa Mtei, mke wake ni Daktari..pia alikuwa Tanzania one kielimu enzi hizo

Mke Wa Mbowe ni familia Bora maana baba yake alikuwa Gavana Wa Bank kuu (BOT) enzi ZA Mwl.Nyerere

Mbowe naye ni familia Bora .baba Wa Mbowe alikuwa Doni kitambo
 
Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto.

Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi .
1. Usalama wa kijamii na kifedha.
2. Furaha nk ,

Najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............

Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue Mbowe, Aliko Dangote, Diamond Platnum, Myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vipi wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa.

Mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na Gerald Amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo Kayumba school, ada, nguo vinamtesa
Daah zamani nikiwaza kama wewe ila nilikuja kugundua umuhimu wa ndoa siku alipofariki Baba yangu Mzazi, kaka yangu wa kwanza alikuwa 40 years afu hajaoa, mdogo wake alikuwa around 37 ameoa tayari, basi pale msibani wazee wanakaa na yule aliyeoa ndio wanampa maagizo, na kule uwani wanapokaaa waombolezaji wanawake wakiwa na ujumbe wao wanataka ufike barazani walipokaa wanaume basi wanatumia mke wa brother analeta kwa mumewe meseji inafika....daaah First Born alikuwa mwepesi msibani kwa sababu hana Mke...[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kitu pekee ni kwamba ndoa ni asili ya binadamu ,nikiwa na maana hata wanyama wana muunganiko wa mke na mume ili kuendeleza kizazi.

Kijana usipate hadaa za duniani za maendeleo ya vitu landa waje marobot ndio hawatooana ...Ila binadamu kiafya zaidi kuna umri ukifika lazima upate mwenza maana hormones zinazalishwa kwa kasi...Kama hautopata ndoa utakuwa malaya ,je umalaya una faida gani?
 
Kijana akifika umri huo kama hajaoa na uwezo anao yaani mali ,kipato cha uhakika ni mtu wa hovyo hamna maelezo mengine.
 
Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto.

Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi .
1. Usalama wa kijamii na kifedha.
2. Furaha nk ,

Najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............

Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue Mbowe, Aliko Dangote, Diamond Platnum, Myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vipi wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa.

Mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na Gerald Amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo Kayumba school, ada, nguo vinamtesa
Mbowe yupo asiye na ndoa? Hujui chama kimeasisiwa na baba mkwe?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Hutaki ndoa ilaa Ungezaliwaa kwenye familia ambayo baba yako kamtelekeza mama yako sababu nae hakutaka Ndoa bhasi Unamchukiaa.. KIJANA AMBAE HUTAKI NDOA NA UMELELEWA NA BABA NA MAMA bhasi una Utundio wa ubongoo..!!
 
Kitu pekee ni kwamba ndoa ni asili ya binadamu ,nikiwa na maana hata wanyama wana muunganiko wa mke na mume ili kuendeleza kizazi.

Kijana usipate hadaa za duniani za maendeleo ya vitu landa waje marobot ndio hawatooana ...Ila binadamu kiafya zaidi kuna umri ukifika lazima upate mwenza maana hormones zinazalishwa kwa kasi...Kama hautopata ndoa utakuwa malaya ,je umalaya una faida gani?
Wanatakaa Kuzalishaa na kuachaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wao dada zao wakizalishwa na kuachwa vilioo na matusi juu.. Wanasahau dada zao wamekutana na wanaume kama wao HAWATAKI NDOA ILA UCHII WANATAKA kila siku[emoji16][emoji16][emoji16]
 
😅😅😅Wakikataa ndoa labda wasiwe na nyege maana hiyo ni involuntary wanaweza kubaka hata mbuzi.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Wakikataa ndoa labda wasiwe na nyege maana hiyo ni involuntary wanaweza kubaka hata mbuzi.
Yani mwanaume unaekulaa ukashibaa na una vihelaa tatizo la kwanza kwenye maisha yako ni NYEGEEEE.. yani hilo ndo tatizo kubwaa mnoo. Kulidhibiti upate sehemu ya kumwagaa akili ikae sawaaa bila hivyoo unaweza kufanya mambo ya ajabu sanaaa..
 
Utulivu WA Kweli unapatikana ktk ndoa, Allah amesema nimekuumbieni wanawake jinsi moja na yenu ili mpate utulivu ndani yao na amejaalia huruma na mapenzi ndani yao.

Hawara atakupenda ukiwa na hela Lkn ukiwa huna kitu huyo sio mwenzio, kwasababu hana mafungamano yoyote na wewe.

Mpango wa Mungu uzao wa mwanadamu upatikane ktk ndoa,kwani hakika mwadamu amepewa hadhi kubwa kuliko viumbe wore, iweje Leo mwanadamu awe Kama Mnyama?
Wewe ni binadamu muongo zaidi kuwahi kukushuhudia.Ndoa ipi ilete utulivu?
Maisha ya furaha kwa mwanaume uisha mara tu anapooa.
 
Back
Top Bottom