Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Swala la kuachwa it depends unaishije kwenye hayo mahusiano na sio swala la kipato , unaweza ukawa na pesa lakini ukawa kichomi unatabia za hovyo , me nilishadate na mtu mwenye pesa sana na hakuna nilichokua nakosa ila nilikuja kumuacha mwenyewe because of tabia zake alikua hana mda na mimi mda wote yupo busy na kazi, hajui umuhimu wa mawasiliano always mpaka ww ndo umtafute then kauli zake zilikua chafu kama za haji manara kitu kidogo tu mkigombana unatukaniwa ukoo wenu mzm kuwa ni maskini mara anaanza kujitamba kuwa yeye ana pesa he can have any woman he wants....yani too much pride[emoji30] then nikasema ooh kumbe wewe nyau unijui eeh nilimpiga chini mpaka leo hakuamini
 
Na wapo wengi tu, tena kumwacha wala usipige kelele ni kimya kimya tu
 
Karma
 
kila dada wa JF atakuja na stori feki kwamba aliwahi kum-dump mwanaume mwenye pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…