Hivi na nyie wake zenu wanawapa unyumba kwa kunung'unika kama huyu wangu?

In a bundance of WATER a fool is dying thirsty....
 
Mpaka hapo Badoo hujaelewa nini kinaendelea mkuu??🤔🤔

Zinduka weew unaibiwa hapo
 
Mzee umewahi ona jogoo wa kuku anavohustle kupata huduma? Iko hivo Kila pahala
 
Mimi akininyima unyumba kesho yake namletea mke mwenzie. Ujinga mimi sitaki
 
Hata mimi hushangazwa sana na hilo
 
Mimi nilifikiri ukisha oa unakua unaichapa kila siku,
Kumbe kuna kuiomba tena!

cc; ShesRise_1 Joanah binti kiziwi leo dada Lamomy win-one Binti wa zamani Demi
Mtoa mada hilo tatizo limeanza lini?
Tokea zamani hayupo active kukupea yote?

Kama hakua hivyo toka zamani itakua umemfanyia maudhi

Kama ni toka mwanzo basi huyo hakupendi sisi ke tukikuelewa muda wote show show 🔥🔥
Sijafanya utafiti sana kuhusu hili ila sisi ke tukipenda vizuri tunapenda mnoo kutiana

Mwisho kabisa labda humkojozi unamlalamba lamba hufiki kina hugusi kwenye utamu ulipo

I'm out Cc: The Icebreaker
 
Sema mleta mada ni mtu wa chai,hata hii ni chai pia,

JF VAR CHECK

 
Kuoa hakukupi guarantee ya kuichapa kila unavyojisikia.
Inategemea humo ndani mnaishije na kuchukuliana vipi????
Sasa we bidada mfano awe hana matunzo pesa inatoka ya mahesabu au ndo aambiwe 50/50 hizo nyege za mda wote zitatoka wapi??
Kwahiyo kumnyima ndio solution ya hayo matatizo?

Kama hujaridhika sehemu,ni bora kuondoka,


Ila hii ni chai tu,mleta mada anachangamsha JF

JF VAR CHECK


 
Dah mleta mada shenziiii zakoo🤣🤣
Au ndio huyu huyu hampei

Ukute kakutana na watu huko kwenye pombe wanajua kuichapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…