Ni ujinga tu wanaoteseka namapenzi wote wanaendekeza ujinga watu wote waliojaa hawa dunian unatesekaje kwa sabab ya mwanamke ama mwanaume ?[emoji23] [emoji23] Wale wakina mwafulani walikua majobless? Hii kitu achana nayo kama wewe hayajakukuta mazito shukuru sana na omba sana yasikukute mana sio poa yaani.